mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
Juzi tarehe 21st of February, kash Patel ameidhinishwa kuwa chief of FBI huko marekani. Sasa kama kwaida ya wabongo sisi , kwa mbwembwe tukaanza kusambaziana propaganda, mara oh... ni mtanzania , sijui mama yake ni mtz, mara blah blah kibao. Tangu lini mtanzania mbantu akawa na jina la kash patel🤔🤔🤔 okay tufanye assumption ni mtanzania , je mngempa hiyo nafasi ya kuwa mkurugenzi wa special branch magogoni... yaani mngekubali awe DGIS WA TISS?...
NB: Wabongo tuna ugonjwa wa kujipendekeza sana .😐😐
Eli Cohen BARDIZBAH
NB: Wabongo tuna ugonjwa wa kujipendekeza sana .😐😐
Eli Cohen BARDIZBAH