John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Juzi tarehe 21st of February, kash Patel ameidhinishwa kuwa chief of FBI huko marekani. Sasa kama kwaida ya wabongo sisi , kwa mbwembwe tukaanza kusambaziana propaganda, mara oh... ni mtanzania , sijui mama yake ni mtz, mara blah blah kibao. Tangu lini mtanzania mbantu akawa na jina la kash patel🤔🤔🤔 okay tufanye assumption ni mtanzania , je mngempa hiyo nafasi ya kuwa mkurugenzi wa special branch magogoni... yaani mngekubali awe DGIS WA TISS?...
NB: Wabongo tuna ugonjwa wa kujipendekeza sana .😐😐
Eli Cohen BARDIZBAH
Asingeweza kupata nafasi hiyo.
Teuzi za Tz huwa zinaangalia Uchawa na Kujipendekeza kwa Watawala