Unataka kusema kwenye hizo hakuna kabisa raia wa kigeni?Anyway walisema pia yule waziri mkuu wa ulingereza mwenye asili ya kihindi alikuwa ana uasili wa Tanzania, sio wa kibantu ila wazazi/babu yake waliishi hapa bongo.
Kwa upande mwingine, marekani ni nchi yenye inclusion ambayo haijali umezaliwa wapi wanachoangalia utaifanyia nini kwa maana umeishi hapo kwa utaratibu unaohitajika kuanzia kibari na kisomo chako.
Kwa upande wa bongo, mbona tuna wabunge waarabu na wahindi (nafikiri) lakini katika nyazifa zenye usiri kama hzo sio rahisi ngozi nyeusi asimuweke mmbantu kwa maana anaona hawataendana na matakwa yake binafsi yanayoweza kufanana na fikra ya ngozi nyeusi mwenzake, so akifikiria kumuweka ngozi nyeupe anaona jau
Sisi watanzania wanafiki sanaJuzi tarehe 21st of February, kash Patel ameidhinishwa kuwa chief of FBI huko marekani. Sasa kama kwaida ya wabongo sisi , kwa mbwembwe tukaanza kusambaziana propaganda, mara oh... ni mtanzania , sijui mama yake ni mtz, mara blah blah kibao. Tangu lini mtanzania mbantu akawa na jina la kash patelπ€π€π€ okay tufanye assumption ni mtanzania , je mngempa hiyo nafasi ya kuwa mkurugenzi wa special branch magogoni... yaani mngekubali awe DGIS WA TISS?...
NB: Wabongo tuna ugonjwa wa kujipendekeza sana .ππ
Eli Cohen BARDIZBAH
na chotara atabaki kuwa chotara tu.si sawa kumtenga mtu ikiwa ana vina saba vya utanzania.HUO NI UBAGUZI.japo sio vizuri kujipendekeza kwenye mafanikio ya mtuUkweli utabaki mpaka kesho , huyu ni muhindi , hakuna mzungu mweusi wala mwafrika mweupe.
Sisi wahindi wanatudharau sana. Hatuwezi kukubali. Kuoana tu hawataki. Nenda kwao ukagombee chochote kama unaweza.Juzi tarehe 21st of February, kash Patel ameidhinishwa kuwa chief of FBI huko marekani. Sasa kama kwaida ya wabongo sisi , kwa mbwembwe tukaanza kusambaziana propaganda, mara oh... ni mtanzania , sijui mama yake ni mtz, mara blah blah kibao. Tangu lini mtanzania mbantu akawa na jina la kash patelπ€π€π€ okay tufanye assumption ni mtanzania , je mngempa hiyo nafasi ya kuwa mkurugenzi wa special branch magogoni... yaani mngekubali awe DGIS WA TISS?...
NB: Wabongo tuna ugonjwa wa kujipendekeza sana .ππ
Eli Cohen BARDIZBAH
Hakuna chotara , muonekano wake utaamua.na chotara atabaki kuwa chotara tu.si sawa kumtenga mtu ikiwa ana vina saba vya utanzania.HUO NI UBAGUZI.japo sio vizuri kujipendekeza kwenye mafanikio ya mtu
mkianza hivi kuna nafsi mtazidhulumu.watanzania wengi wana watoto na jamii zingine.watoto wao ni watanzanis wenzetu,hata kama wana uraia wa hizo nchi.ila wana damu ya tanzania.Hakuna chotara , muonekano wake utaamua.
Tanzania sio meritocratic nation hivyo asingeweza kupata hata kama angekuwa na vigezo vilivyopitiliza, hili taifa letu limejawa na nepotism,uchawa na siasa za kishenzi kila mahali na ndio maana hakuna sekta yenye ufanisi wa kujivunia.Juzi tarehe 21st of February, kash Patel ameidhinishwa kuwa chief of FBI huko marekani. Sasa kama kwaida ya wabongo sisi , kwa mbwembwe tukaanza kusambaziana propaganda, mara oh... ni mtanzania , sijui mama yake ni mtz, mara blah blah kibao. Tangu lini mtanzania mbantu akawa na jina la kash patelπ€π€π€ okay tufanye assumption ni mtanzania , je mngempa hiyo nafasi ya kuwa mkurugenzi wa special branch magogoni... yaani mngekubali awe DGIS WA TISS?...
NB: Wabongo tuna ugonjwa wa kujipendekeza sana .ππ
Eli Cohen BARDIZBAH
Uraia sio tatizo dunia iko mbali sana ila asili yake itabaki ile ile.mkianza hivi kuna nafsi mtazidhulumu.watanzania wengi wana watoto na jamii zingine.watoto wao ni watanzanis wenzetu,hata kama wana uraia wa hizo nchi.ila wana damu ya tanzania.