Simjibii ila nataka nikuonyeshe kuwa inawezekana kuingiza kiasi hicho na zaidi bila hata wewe binafsi kufanya kazi direct... mfano nina Heavy Machine tatu kiwanda A ambapo nimeingia nao mkataba wa kufanya nao kazi kwa mwaka mzima. Machime ninayo lipwa fedha ndogo ni 500k kwa siku na nyingine 650k na kubwa zaidi 900k kwa siku. Total 2.05m naondoa 150k kwa operators wote wa3. VAT 369k naondo 600k kama fedha ya machine zote incase of planned and emergence maintenence... so per day naingiza 931k hapo bado kuna shughuli zingine zinazoendelea... unajikuta unapata muda wa kuchat jamii forum ukiwa huna msongo. So usishangae mtu kuingiza 850k tena kasema bado ni gross hajatoa makato, Ukipata fedha invest usiitunze kwenye kibubu (bank) hutakaa uwe na ukwasi. Tukirejea kwenye mada 7k ni fedha kidogo ila sio fact kwa vijana wa bodaboda wote wanaingiza hiyo wapo zaidi na wapo less than that depend on circumstances kitu cha kufanya ni kuwapa technical know how.