Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Unaifahamu kazi ya bodaboda au unaandika tu?.Bodaboda gani anapata elfu 7 tu kwa siku ?
Bodaboda analipa kwa boss elfu 10 bado anabaki na hela yake Kama elfu 10 au zaidi..Kama pikipiki Ni ya kwake anapata zaidi ya elfu 15 kwa siku..
Huyu muongo tu yaani kiwango Cha Pato lake ni kikubwa sana asinge kuwa humu JF anapuyanga Kila siku, mijitu ya namna hii haifai hapa JF850000 × 365 = 310,250,000
Kwa hiyo wewe ulitaka kutuaminksha unaingiza 310,250,000/- kwa mwaka?
Hili sio tangazo kweli la kupata mademu. I wonder [emoji848]
Jf hakuna maskinj!!We jamaa unaingiza Laki nane na nusu kwa siku.
Unafanya kazi siku ngapi katika mwezi?
Mwenye pesa hawezo dharau hela ndogo mzushi tuHuyu muongo tu yaani kiwango Cha Pato lake ni kikubwa sana asinge kuwa humu JF anapuyanga Kila siku, mijitu ya namna hii haifai hapa JF
Simjibii ila nataka nikuonyeshe kuwa inawezekana kuingiza kiasi hicho na zaidi bila hata wewe binafsi kufanya kazi direct... mfano nina Heavy Machine tatu kiwanda A ambapo nimeingia nao mkataba wa kufanya nao kazi kwa mwaka mzima. Machime ninayo lipwa fedha ndogo ni 500k kwa siku na nyingine 650k na kubwa zaidi 900k kwa siku. Total 2.05m naondoa 150k kwa operators wote wa3. VAT 369k naondo 600k kama fedha ya machine zote incase of planned and emergence maintenence... so per day naingiza 931k hapo bado kuna shughuli zingine zinazoendelea... unajikuta unapata muda wa kuchat jamii forum ukiwa huna msongo. So usishangae mtu kuingiza 850k tena kasema bado ni gross hajatoa makato, Ukipata fedha invest usiitunze kwenye kibubu (bank) hutakaa uwe na ukwasi. Tukirejea kwenye mada 7k ni fedha kidogo ila sio fact kwa vijana wa bodaboda wote wanaingiza hiyo wapo zaidi na wapo less than that depend on circumstances kitu cha kufanya ni kuwapa technical know how.We jamaa unaingiza Laki nane na nusu kwa siku.
Unafanya kazi siku ngapi katika mwezi?
Simjibii ila nataka nikuonyeshe kuwa inawezekana kuingiza kiasi hicho na zaidi bila hata wewe binafsi kufanya kazi direct... mfano nina Heavy Machine tatu kiwanda A ambapo nimeingia nao mkataba wa kufanya nao kazi kwa mwaka mzima. Machime ninayo lipwa fedha ndogo ni 500k kwa siku na nyingine 650k na kubwa zaidi 900k kwa siku. Total 2.05m naondoa 150k kwa operators wote wa3. VAT 369k naondo 600k kama fedha ya machine zote incase of planned and emergence maintenence... so per day naingiza 931k hapo bado kuna shughuli zingine zinazoendelea... unajikuta unapata muda wa kuchat jamii forum ukiwa huna msongo. So usishangae mtu kuingiza 850k tena kasema bado ni gross hajatoa makato, Ukipata fedha invest usiitunze kwenye kibubu (bank) hutakaa uwe na ukwasi. Tukirejea kwenye mada 7k ni fedha kidogo ila sio fact kwa vijana wa bodaboda wote wanaingiza hiyo wapo zaidi na wapo less than that depend on circumstances kitu cha kufanya ni kuwapa technical know how.
kama elf 10 sio pesa ni nini sas?Sasa kama anabaki ya elfu kumi nayo unaona ni pesa ndugu yangu 🥲
KaribuMkuu naomba konekisheni aisee
kama elf 10 sio pesa ni nini sas?