Ni kweli kumuacha mtu unayempenda siyo rahisi na inatesa lakini haimaanishi kama siyo rahisi basi uambiwe tu msamehe au mpende tu (inategemea na kosa).Cha ajabu majibu mengi hayana uhalisia utasikia",piga chini","mrudishe kwao""muolee mke wa pili"etc,hayo majibu ya wadau wengi,ila ukweli kumuacha mke unayempenda sio rahisi hivyo tusidanganyane,
Nimekuwa nikifuatilia mada za watu wenye changamoto katika mahusiano wakihitaji ushauri.
Cha ajabu majibu mengi hayana uhalisia utasikia",piga chini","mrudishe kwao""muolee mke wa pili"etc,hayo majibu ya wadau wengi,ila ukweli kumuacha mke unayempenda sio rahisi hivyo tusidanganyane, hao wanaokushauri hivyo nyumba zao zinawaka moto hawaachani wapo tu ,tupeane ushauri wa kujenga na kudumisha mahusiano badala ya kudanganyana.
Inategemea na dini."Mpandishe cheo awe mke mkubwa"
Hii ndio yenyewe
Kenge! kabisa! umeshalishwa visivyo liwa!! siku ukipigwa za mgongo utalia na hutakaa umrudie kamwe!! au utampiga mpaka karibia kuua! kaa ivoivo! wenzako tumalizie utamu! usije huku! ....siku ukistuka gahfla anakupiga uhanisi baridi! ndo ke '' hao kijana!Nimekuwa nikifuatilia mada za watu wenye changamoto katika mahusiano wakihitaji ushauri.
Cha ajabu majibu mengi hayana uhalisia utasikia",piga chini","mrudishe kwao""muolee mke wa pili"etc,hayo majibu ya wadau wengi,ila ukweli kumuacha mke unayempenda sio rahisi hivyo tusidanganyane.
Hao wanaokushauri hivyo nyumba zao zinawaka moto hawaachani wapo tu ,tupeane ushauri wa kujenga na kudumisha mahusiano badala ya kudanganyana.
Kenge! kabisa! umeshalishwa visivyo liwa!! siku ukipigwa za mgongo utalia na hutakaa umrudie kamwe!! au utampiga mpaka karibia kuua! kaa ivoivo! wenzako tumalizie utamu! usije huku! ....siku ukistuka gahfla anakupiga uhanisi baridi! ndo ke '' hao kijana!
Babu yako bado yuko hai kwani au?
Babu mfipa wa sumbawanga,bibi mzihua wa handeni wote wako haiKenge! kabisa! umeshalishwa visivyo liwa!! siku ukipigwa za mgongo utalia na hutakaa umrudie kamwe!! au utampiga mpaka karibia kuua! kaa ivoivo! wenzako tumalizie utamu! usije huku! ....siku ukistuka gahfla anakupiga uhanisi baridi! ndo ke '' hao kijana!
Babu yako bado yuko hai kwani au?