mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Nimekuwa nikifuatilia mada za watu wenye changamoto katika mahusiano wakihitaji ushauri.
Cha ajabu majibu mengi hayana uhalisia utasikia",piga chini","mrudishe kwao""muolee mke wa pili"etc,hayo majibu ya wadau wengi,ila ukweli kumuacha mke unayempenda sio rahisi hivyo tusidanganyane.
Hao wanaokushauri hivyo nyumba zao zinawaka moto hawaachani wapo tu ,tupeane ushauri wa kujenga na kudumisha mahusiano badala ya kudanganyana.