Tuache unafiki kwenye soka. Yanga wanacheza mpira wa kiwango cha Barcelona, Man city

UNDER RATED POST FOR SURE
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan utopolo mbna wehukwq nyie khaaaah, tutaulizana tyuuu.
 
Majamaa hayatakagi kabisa kuona sura ya huyu jamaa wala kuskia jina lake.

Kwenye derby aliwasumbua mpaka beki zao zikawa man of the match kwa kumtibiti tu mtu mmoja. Onyango na na Baka mda wote wako kwenye D.
Hadi walimsindikiza.....kuonesha kuwa wamefurahi kuona anatolewa
 
Hili swali nimekua nikijiuliza mara nyingi sana, hivi kwanini mashabiki wa yanga ni watupu mnoo ?, kuna uhusiano gani kati ya kuwa shabiki wa yanga na uzuzu ?, na yote akili zao kwa kiasi kikubwa zinafanana, nina mwanang mmoja nachatigi nae WhatsApp ni shabiki kindaki ndaki wa yanga, aisee mpaka kuna wakati huwa najiulizaga "hivi huyu mtu mzima kweli ?" ..

Kuna muda nasomaga thread au comment zao humu nachoka. Anyway daima mbele nyuma kuna mwiko.
 
Hawajielewi wengi wao! Manara aliwahi kusema ukimtoa Jakaya na mzee Sunday Manara basi waliobaki hawako timamu!

Kelele nyingi ndo kwanza ligue bado mechi za mwanzo tu.

Naamini Simba anaenda kubeba ndo for the 5th time.
 
Toa hoja mkuu.....achana na personal attacks....
 
Hawajielewi wengi wao! Manara aliwahi kusema ukimtoa Jakaya na mzee Sunday Manara basi waliobaki hawako timamu!

Kelele nyingi ndo kwanza ligue bado mechi za mwanzo tu.

Naamini Simba anaenda kubeba ndo for the 5th time.
,,,
 
Luc alitoa jibu la swali lako. Wako uneducated,wanazomea zomea tu kama manyani. Hata msukule wa GSM ulisema huko Yanga yamejaa mazezeta tupu wenye akili timamu ni Sunday Manara na Mzee JK tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Alikuwa na makasiriko....kwa sababu alitimuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…