Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ya dearby mliwatoa hawa wakaenda kalia benchi au mmesahau?
Majamaa hayatakagi kabisa kuona sura ya huyu jamaa wala kuskia jina lake.Takwimu za magoli ya kufungaView attachment 2066668
UNDER RATED POST FOR SUREKama wewe ni mdau wa soka na sio shabiki wa mipira basi utaniunga mkono kwa hili. Mpira wanaocheza yanga unatisha.
Imagine aneyeingia sub ni Moto kuliko anayetoka (kitaa tunaeema "linatoka jini ......linaingia jini" kwamba hakuna ambaye mdhaifu.
Ikumbukwe ni hii Dodoma jiji aliyocheza na SIMBA
Angalia ball possession kati ya WANANCHI na Dodoma jiji[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji113]
View attachment 2064358
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan utopolo mbna wehukwq nyie khaaaah, tutaulizana tyuuu.Mi naona Simba ni Watford iliyochangamka .......Man City ni level ya WANANCHI. .....pia hata ukiangalia list ya timu zinazoongoza ligue duniani
Man City ......England
Bayern Munich.......bundesliga
Madrid ......, ..Laliga Santander
YANGA .............Tanzania
Elimu hii aihitaji ata kufika chuo kikuu . . Ili kujua haya mambo
ta
shida zako hizoMkuu.....Lkn hiyo isikufanye kuwa mshabiki maandazi
Hadi walimsindikiza.....kuonesha kuwa wamefurahi kuona anatolewaMajamaa hayatakagi kabisa kuona sura ya huyu jamaa wala kuskia jina lake.
Kwenye derby aliwasumbua mpaka beki zao zikawa man of the match kwa kumtibiti tu mtu mmoja. Onyango na na Baka mda wote wako kwenye D.
Hawajielewi wengi wao! Manara aliwahi kusema ukimtoa Jakaya na mzee Sunday Manara basi waliobaki hawako timamu!Hili swali nimekua nikijiuliza mara nyingi sana, hivi kwanini mashabiki wa yanga ni watupu mnoo ?, kuna uhusiano gani kati ya kuwa shabiki wa yanga na uzuzu ?, na yote akili zao kwa kiasi kikubwa zinafanana, nina mwanang mmoja nachatigi nae WhatsApp ni shabiki kindaki ndaki wa yanga, aisee mpaka kuna wakati huwa najiulizaga "hivi huyu mtu mzima kweli ?" ..
Kuna muda nasomaga thread au comment zao humu nachoka. Anyway daima mbele nyuma kuna mwiko.
Muda bado kuwa mpoleee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuanze saiz kuulizana
Toa hoja mkuu.....achana na personal attacks....Hili swali nimekua nikijiuliza mara nyingi sana, hivi kwanini mashabiki wa yanga ni watupu mnoo ?, kuna uhusiano gani kati ya kuwa shabiki wa yanga na uzuzu ?, na yote akili zao kwa kiasi kikubwa zinafanana, nina mwanang mmoja nachatigi nae WhatsApp ni shabiki kindaki ndaki wa yanga, aisee mpaka kuna wakati huwa najiulizaga "hivi huyu mtu mzima kweli ?" ..
Kuna muda nasomaga thread au comment zao humu nachoka. Anyway daima mbele nyuma kuna mwiko.
Alikuwa na makasiriko....kwa sababu alitimuliwaLuc alitoa jibu la swali lako. Wako uneducated,wanazomea zomea tu kama manyani. Hata msukule wa GSM ulisema huko Yanga yamejaa mazezeta tupu wenye akili timamu ni Sunday Manara na Mzee JK tu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app