Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa anajua Sana .......[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we ni mmoja ya wanasimba naowakubali humu
Kipind tunacheza na namungo ....timu ya YANGA ilikuwa bado haijaimalikaKwakweli Yanga wakikutana na Dodoma jiji inakua timu nzuri Sana zaidi ya Barcelona.
tukiwakutanisha tu na Namungo wanakua wabovu zaidi ya timu za Umitashumta.
Ni Dodoma jiji walicheza chini ya kiwango au ni Yanga wako vizuri?
Mzee TRUST NOBODY...YANGA lazima alete ubingwa.....trust me
Nijifunze nini tena mwana UtoJamaa anajua Sana .......
Kuna jamaa anaitwa ChamasonMorisonBwalyason ....aje ajifunze kwa huyo mwamba
Huyo na takataka mwenzake okwi BOBANI wana IQ ndogo sanaJamaa anajua Sana .......
Kuna jamaa anaitwa ChamasonMorisonBwalyason ....aje ajifunze kwa huyo mwamba
Jumatano nadhani tunagawa doze kwa wazanzibar fulani hiviWaje wengine wapewe dozi yao
Wahuni sana ha😵kwi yupo bze na mke wa Mpemba🤣🤣🤣🤣Hakikaa mkuu .iq zao tia maji...nawaona kila siku kwenye uzi wa kula kimasihara
Unless mambo yabadilike i.e majeruhi, kubweteka, ugomvi, upigaji, etc lkn kama mambo yataendelea kua hivi na Prof Nabbi akakamilisha mipango yake 💯, inshallah Yanga anakua bingwa wa NBC PREMEAR LEAGUE 2021/2022Na ubingwa utabebwa
kijana unachekesha sana, vipi nitoe huo mwiko huko nyuma?Hakikaa mkuu .iq zao tia maji...nawaona kila siku kwenye uzi wa kula kimasihara