Tuache unafiki kwenye soka. Yanga wanacheza mpira wa kiwango cha Barcelona, Man city

Tuache unafiki kwenye soka. Yanga wanacheza mpira wa kiwango cha Barcelona, Man city

Kipimo ni Dodoma jiji? Watanzania tunaelekea kuwa vichaa wote. Tena 2022 haitatuacha tukiwa salama.
Angalia position ya Dodoma jiji ..kwenye msimamo...alafu fanaisha na position ya KMC
 
Kwakweli Yanga wakikutana na Dodoma jiji inakua timu nzuri Sana zaidi ya Barcelona.
tukiwakutanisha tu na Namungo wanakua wabovu zaidi ya timu za Umitashumta.

Ni Dodoma jiji walicheza chini ya kiwango au ni Yanga wako vizuri?
Kipind tunacheza na namungo ....timu ya YANGA ilikuwa bado haijaimalika

Najua unaelewa hilo kuwa kadri muda unavyoenda YANGA inakuwa hatar
 
Back
Top Bottom