Tuache unafiki, Utawala Awamu ya 5 ulikuwa hatarishi!

Magufuli will remain the best president ever, he had a vision, he wanted to see immediate results, he hated negligence and corruption, he borrowed usable and repayable loans. Umeme tutauza mpaka nje, rail italeta faida sana mpaka kwa majirani, the shortcomings of its few executives cannot eliminate the good he has done for this country.
 
Ulikua hatarishi kwa nani?ndio maana mnaanza kumletea mama ujinga ujinga
 
Mazuri ya magufuli ni mengi mno, ni wajinga tu wasioona
 
Kitu kimoja mimi kilikuwa kinanishangaza, kama alikuwa anafanya mazuri, kwa nini alikuwa anataka kuyafanyia gizani? Kwa nini uzime bunge, uminye vyombo vya habari na uzuie wapinzani?

Unaogopa nini ili hali unafanya mazuri?
 
Mazuri ya magufuli ni mengi mno, ni wajinga tu wasioona
Mimi ninadhani mtu anaesema kuwa raisi anaweza kuwa best president ever kwa sababu tu raisi huyo anajenga madaraja na reli mtu huyo ana upogo na ukengevu wa kitafakuri.
 
Halafu aliyeondoka ni mmoja tu anayeitwa Magufuli , wengine wote walioshirikiana naye , akiwemo aliyekuwa Makamu wa Rais wangali bado madarakani
 
Kila ubaya utalipwa , hata kwa wajukuu zao , wote waliokuwa viongozi wakati Lwajabe anauawa kinyama wangali hai
 
bibi yako na babu yko ndio mnajua hayo sisi tunachojua ametufumbua macho na wahuni kama nyie na kutuletea maendeleo yanayoonekana hata na kipofu sio mbwembwe za maneno tupu na kuzurura hovyo na kukopa kopa hvyo
 
Polepole amethubutu kusema anasikitika hakuwamaliza watu fulani.
Ina maana wasiojulikana anajua walitumwa wapi.
Kwa maelezo yale, Polepole ndiye anayefaa kuhojiwa badala ya Nabii.
Maana yaonyesha alishiriki uharamia wote uliofanyika.
 
Kila ubaya utalipwa , hata kwa wajukuu zao , wote waliokuwa viongozi wakati Lwajabe anauawa kinyama wangali hai
Wakishughulikiwa walinda legasy wanakuja juu, kwamba watu wanamchafua Baba yao makusudi
 
Askofu kaongea ukweli hawa dola wanaendelea kutishia wananchi tu laana zizidi kuwashukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…