Tuache upotoshaji; Deo Bonge alikuwa anakamatwa sio kutekwa

Wewe bila shaka unagongwa
 
Semeni ukweli wenu mlitaka kumpeleka wapi Deo? Ila sijajua wewe ni yupi yule dogo white au yule Nyang'au?
 
Mkuu umevuta nini?
 
mtoa mada ili uepuke kuonekana andazi ungeweka na vifungu vya kisheria na kikatiba vinavyohalalisha ukamataji ule wa mwamba DEO
 
Wakamataji walikuwa akina nani mkuu?
Kwa nini walikimbia?
 
Ukitukanwa utasema unaonewa?
 
Hivyo ndivyo PGO "yenu" inavyowaelekeza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…