Tuache upotoshaji; Deo Bonge alikuwa anakamatwa sio kutekwa


Upumbavu kama huu ni mzigo kwa Taifa, Tukiwa na watu na viongozi kama nyie kuendelea ni ngumu sana.
 
Umeongea kama uko uchi, police wenyewe wamesema wanafanyia uchunguzi wewe unakuja na conclusion yako!
 
Kwani yule Mzee wa Tanga aliye tekwa kwenye basi walimpiga?
Usihamishe magoli kijana.
 
Polisi wamesema hawawatambui hao wahalifu, we ni nani useme ni polisi?
 
KUKAMATWA MAANA YAKE NINI? NA KUTEKWA MAANAKE NI NINI? NA JE UNAWEZA KUNAMBIA ALIKUWA ANAKAMATWA NA NANI NA KWA LENGO LIPI? NA JE UKAMATAJI ULIFUATA TARATIBU ZIPI
 
Ukute walioshuhudia tukio na kuendelea na shughuri zao wengine wapo Hapa wanatype.
Keyboard activists
Yawezekana huenda hao Watu nao pia walikuwa miongoni mwao mwa hiyo Abduction Squad iliyohusika na tukio hili.

Kumbuka kwamba, kabla mtu yoyote yule mlengwa anayetakiwa kutekwa hajatiwa mikononi mwa Watekaji, huwa inafanyika kwanza stadi ya kina kabisa juu ya mtu huyo. Mhusika LAZIMA kwanza huwa anafanyiwa SURVEILLANCE ya kina kabisa kabla ya kutekwa kwake na kisha OPERATION PLAN ya kutekwa kwake inaandaliwa na Watekaji na mwisho kabisa Abduction Squad inaundwa ili kukamilisha mission iliyopangwa.
 
Ukamataji upo vile? Au wewe naye ni mtekaji?
 
Punda wa dobi we!!
 
Inaonyesha hata wewe mkuu huna uhakika kama ni wakamataji ya watekaji kwa sentence yako ya kuwa 'inaonyesha kama walikua wanamteka!!
 
TA-KA-TA-KA
 
Stupid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…