Tuache upotoshaji; Deo Bonge alikuwa anakamatwa sio kutekwa

Unatiwa na nguruwe pori
 
Kwa hali ya vijana kama hawa mnadhani tutatoboa kweli ?? Au ww ndio mtekaji mwenyewe umekuja kujikosha hapa.?? Mpumbavu wa mwisho ww
 
Kwa hiyo ww mtekaji umekuja hapa k kujitetea?? Hakika mistahili ya Bible kuwa watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa ilimaanisha Tanzania. Kuna watu wajinga na wapumbavu sana kama mtoa thread huyu. Kama alikuwa, anakamatwa, mbona kituo cha police au jeshi la police halina taarifa.? Stupid na ukome.
 
Matundi ya ujinga
 
Asante kwa taarifa, lakini wenye akili wamesha unganisha dots
 
Zombie la mama!
Yako mengi kama hili huko UVCCM
 
Askari akikamata mtu akishindwa anakimbia?

Kumamayo
 
Braza zandrano hata mimi ni mwana CCM mwenye kadi halali niliyoilipia miaka mi 5
Ni mtumishi wa umma kwenye serikali hii tukufu ya CCM ila kwa huu uzi wako naomba nikutukane K. lako.

Uzi wa kipuuzi hatari.

Modes futeni huu utumbo TAFADHALI

Uhai wa mtu una thamani kuliko huo uteuzi unaouvizia Mbwa wewe....

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Wewe unaongea kama mtekaji au mke wa mtekaji ?
 
Kama kwenu huwa wanakamata halafu wakamataji wanakimbia na kuacha pingu mkononi kwa mtuhumiwa basi huo ni ukataji wa kikwenu sio wa kisheria
 
Acha ujinga, mbona walikimbia wakamuacha na pingu mkononi?
 

Sasa Police makao Makuu wanachunguza nini kwa siku zote hizo...!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…