Tuache upotoshaji; Deo Bonge alikuwa anakamatwa sio kutekwa

Jisikitikie kwa kuwa punguani.
 
wewe ni mwendawazimu. Kama una akili hata kidogo, jibu maswali yafuatayo:
1) Polisi wamekataa kuwa hakuna polisi aliyehusika kwenye tukio hilo. Kwa hiyo ni nani ambaye alikuwa anamkamata?

2) Watekaji wote kwenye matukio ya utekaji wamekuwa wanajitambulisha kuwa ni polisi, na polisi wakati wote wamekanusha kuwa siyo wao, kwa hiyo kwa uwendawazimu wako, mtu akisema tu ni polisi, basi ni lazima awe polisi?

3) Unafahamu taratibu za polisi za kumkamata mtuhumiwa? Katika hizo taratibu, ni zipi ambazo hao wakamataji wako walizifuata?

Wewe bila shaka ni miongoni mwa hao mashetani. Mnatafutwa watu msio ba akili kama wewe, mfanye hayo mambo ya laana. Umelaanika wewe mtekaji na muuaji na kizazi chako.
 
Nonsense
 
Natumaini huyu kiumbe aliyeanzisha huu upupu atakuwa anajuta huko alipo. Na ingekuwa haya maneno makali anayotupiwa yana madhara kimwili, basi sasa hivi ama angekuwa marehemu au angekuwa hoi taabani kwa ugonjwa.
 
fala kwa nn wakimbie baada ya kuona jaribio limefeli.. utakua unahusika
 

Mbona hawakuomba msaada wa polisi wa ziada kuhakikisha anakamatwa??
Mbona aliporipoti pale Polisi hakukamatwa kwa kuwa alikuwa anatafutwa??
Acheni kuteka watu!!!!!!
 
Teuzi zenyewe wenzako wanazipata baada ya kutekeleza kwa uaminifu mission za udhalimu kama hizi.
 
Ungekua unajua ni nani hao Waliyotaka kumkamata ndio ungeweza kusema hivyo. Vyombo vya ukamataji kisheria hadi sasa viko kimya havijui kuhusu tukio hiko. Wenyewe wamesema wanawatafuta wahusika na ukamataji huo.
 
Hata yule katibu wenu kule Iringa aliyetwangwa risasi aliwaletea askari ukaidi kukamatwa. Vijana wa CCM mna usenge mwingi sana.
 
Upuuzi kama huu unaoandika ndiyo unatufanya tufurahi mwanaccm akiuwawa
 
Kwahiyo polisi walimkimbia mhalifu
 
Miafrika ndivyo tulivyo...
Mleta mada ni miongoni mwa hayo mashetani yanayoteka na kuua watu. Majitu mapumbavu kama huyu mleta mada, ndiyo huwa yanapewa kazi hizi za laana. Lilikuja kuoima akili za watu. Lilipogundua kuwa hakuna mwenye akili punguani kama ya kwake, limepotea moja kwa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…