#COVID19 Tuache upotoshaji kuhusu chanjo ya Corona

#COVID19 Tuache upotoshaji kuhusu chanjo ya Corona

Hivi ikipatikana chanjo ya UKIMWI leo yenye sifa kama hizi za chanjo za CORONA kuna mtu mwenye akili timamu atachanjwa?

1-Haikuzuii kupata maambukizi mapya

2-Haikuzuii kueneza maambukizi ukiyapata.

3-Haikuzuii KUFA kwa maambukizi hayohayo uliyopatiwa chanjo.

Au kuna mahali Mimi ndiyo sielewi.
 
Picha bila ruhusa za wapigwa picha ni kukiuka maadili

Sawa lakini rangi alizovaa zina ujumbe nafikiri. Simba walishinda juzi kati kule Kigoma. Hatari kwa yanga iko sio longo longo. Jamani yanga hatari dhidi ya simba iko mjiaandae vizuri mnapoelekea kwenye match ya Kariakoo dabi.
 
Gift Nzarendo. Waliokuja na hii hoja wamechanganya Elimu ya Neno la Mungu na yanayo endelea duniani kwa sasa. Jua hilo kwanza. Neno la Mungu linasema kuna majira na nyakati katika kila kusudi la Mungu chini ya nchi.

Hayo yote uliyo ya ongelea haya kutokea maana majira na nyakati zilikuwa bado. Chanjo hii inatupeleka katika zoezi la maandalizi ya kupigwa chapa ya mpinga Kristo. Ziko chanjo zimetumiwa kuleta ugumba, kuthibiti ukuaji wa population. Nasema uongo jamani?

Nitakupa changamoto utafakari. JJ inayolalamikiwa imechanja 2.4% ya Wamarekani na inawezekana ikawa ndio lengo lao kupunguza population yao kwa 2.4%. Na ikitokea ikiwa hivyo sisi Tanzania tutapunguza yetu kwa ngapi kutumia JJ.

Hizi chanjo za kupewa tujiulize kwa nini sio buffet ya chanjo zinazotumika USA tuletewe JJ tu? Tumezoea nguo za misaada utakuta jeans ke/me, gagulo vivyo hivyo. Sasa chanjo imekuja JJ tu. Uko walakini flani hapa.
[/QUOTE

Dhana ya mpinga kristo imekuwepo miaka mingi tangu karne ya Kwanza , na imeanza kufanya kazi muda mrefu,
Lakini watu wameendelea na maisha yao
Na tafiti zimeendelea kufanywa.

Maandiko yanaonyesha itaanza kufanya kazi wazi baada kanisa kunyakuliwa,
Na haitafanyika kwa Siri Kama wengine wanavyotuaminisha
 
Njano imeleta taaruki wazazi wameandamana wamejaa shule za msingi kipawa dar es salaam kisa Mzungu kaonekana shuleni.Kuna shule Mzungu anafundisha kaja kutembelewa na rafiki yake Mzungu wanafunzi wamekimbia wazazi wamejaa watoto wetu awachomwi.Afrika bado Sana yaani Mzungu kaja kutembelewa na Mzungu mwenzake wanafunzi nduki.Hili la chanjo muitikio bado serikalini ifanywe Sana elimu ya kutosha maana wanasiasa sio watu.
Kuna fikra mbaya tunataka tizijenge kwa watoto na taifa ambazo zitawatenga na dunia kabisa,
Kuona kwamba Kila mzungu Ni mbaya kwetu , kitu ambacho si kweli
 
Hapatakuwapo na kuuza ama kununua mpaka uwe umepigwa chapa ya mpinga Kristo. Vaccination passports kwa wachezaji soccer Uk kuziletea changamoto Chelsea, Arsenal na Totenharm. Kuingia kwenye migahawa na vilabu vya ulabu na ngono UK lazima uoneshe umechanjwa. Ka cheti ka corona. Upo hapo?! Nimesema na narudia chanjo hii ni zoezi la kuelekea kupigwa chapa ya mpinga Kristo.
 
The vaccine shills are out in full force these past few days🤔
 
Kila Siku najiuliza. Hiyo chanjo ka Mwendazake angekuwepo na akawa ameikubali hizo dose 1 million zingeisha baada ya week mbili tu.

Naamini mpaka sasa Mawaziri, Wabunge, MaRC, DC, Wakuu wa vyombo vya usalama, Makatibu Wakuu.... List goes on. Hawa wote wangechanja in one wee time..... Wala Rashid asingetoa neno.

Imagine, mpaka Kabudi na Ndugai hawajulikani kama watachanja au la!! Kweli mambo yamebadilika.
 
Anzisheni vikundi vya kumshangilia mh akiongea aka kurugenzi ya kushangilia, vigelegele, nderemo na vifijo kama ile ya lishe, hali ni tete.
 
Njano imeleta taaruki wazazi wameandamana wamejaa shule za msingi kipawa dar es salaam kisa Mzungu kaonekana shuleni.Kuna shule Mzungu anafundisha kaja kutembelewa na rafiki yake Mzungu wanafunzi wamekimbia wazazi wamejaa watoto wetu awachomwi.Afrika bado Sana yaani Mzungu kaja kutembelewa na Mzungu mwenzake wanafunzi nduki.Hili la chanjo muitikio bado serikalini ifanywe Sana elimu ya kutosha maana wanasiasa sio watu.
Tatizo, viongozi wetu wenyewe ndiyo hao.... Huoni akina Ndugai tayari wameshaingia mitini... Wakati walikuwa hawakosekanagi kwenye hafla zote Siku za nyuma na hivi karibuni.
 
Tamko la kijinga kabisa limekwepa maswali ya msingi
1. Afrika ni nchi ipi iliyofanikiwa baada ya kuchanja?

2. Ni kwa nini tupewe chanjo na wazungu waliokufa sana na corona wakati sisi hatujaarithiriwa kihivyo ?
Wee nae nenda kaishi chato bas 🚮🚮
 
Asante kwa ufafanuzi,
Nadhani wasiotaka kuchanjwa waombe ile Chilisauce kutoka Madagascar wanywe,au waendelee kujifukiza na malimao,
Kila mtu aamuue hatma ya afya yake tu
 
Tatizo, viongozi wetu wenyewe ndiyo hao.... Huoni akina Ndugai tayari wameshaingia mitini... Wakati walikuwa hawakosekanagi kwenye hafla zote Siku za nyuma na hivi karibuni.
Wazazi wanalalamika kwann awajapewa taarifa watoto wao awatoruhusu wachanjwe bila taarifa.
Mshikamano waliouonyesha kina mama hawa si wangeutumia tukiondoe hichi chama cha wakoloni weusi kinachowafanya watz wawe masikini
 
Eti tukichanjwa tutakuwa mazombie.Ok kama ni hivyo wazungu wamepanga kuyatiaje hayo mazombie ya Africa.Eti tutakuwa magay sasa kwa mvuto gani tulio nao tukiwa magay then what next kuna faida gani behind.
 
Tamko la kijinga kabisa limekwepa maswali ya msingi
1. Afrika ni nchi ipi iliyofanikiwa baada ya kuchanja?

2. Ni kwa nini tupewe chanjo na wazungu waliokufa sana na corona wakati sisi hatujaarithiriwa kihivyo ?
President Joe Biden has called for states to offer $100 (£71) to the newly vaccinated in an effort to address flagging jab rates amid virus surges.
 
Hii kitu imeingiliwa na majangili jamaa kaongea fact sana🙌🙌🙌🙌🙌
 
Attachments

  • VID-20210730-WA0000.mp4
    6.1 MB
wagonjwa wa,
1.KISUKARI
2.PRESHA
3.MOYO
4.SARATANI
5.UKIMWI
wagonjwa wa maradhi hayo wanapaswa wachue tahadhari sana maana Corona itatumaliza sana.
 
Back
Top Bottom