Tuache ushabiki na unazi, benchi la ufundi Simba lijitathmini kabla mambo hayajaribika

Je hizo timu zilizosajili vizuri na zina makocha wazuri, kwa nini haIjachukua ngao ya hisani?

Watu wanabisha hata ubingwa wa Argentina kwa World Cup ya 2022, wanasema France ndiyo ilistahili, lakini bingwa ni Argentina. Tuyapuuze haya hayana tija.
 
Je hizo timu zilizosajili vizuri na zina makocha wazuri, kwa nini haIjachukua ngao ya hisani?

Watu wanabisha hata ubingwa wa Argentina kwa World Cup ya 2022, wanasema France ndiyo ilistahili, lakini bingwa ni Argentina. Tuyapuuze haya hayana tija.
Kwaiyo una amini Alivyo cheza Simba ni kama Argentina? [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
maneno mengi ila UGORO mtupu

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Yaani ukweli ni lazima useme. Ingekuwa ni ligi imeanza Yanga ingekuwa na point 4 simba Point 2. Kama uongo Nimekaa pale
"Inge" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tayari ishaishaa hiyoooo
 
Ishi katika uhalisia. Inawezekana Bocco hana Kasi kama vijana lakini Majukumu anayopewa huwa anayatimiza kiukamilifu.

Kesho nitaandika umuhimu Wa Bocco Kwa Simba hii.
 
Wewe hamia kwenye michezo ya dhumna au bao la kete. Football waachie wanaoijua.
Kwenye Derby ya Kariakoo kuna mengi kuliko unayoyaona uwanjani
Mpira ni Sayansi na uwekezaji ndiomaana wenye akili wamegundua tatizo licha ya kupata matokeo.

Yanga imefungwa lakini Yanga walikua bora uwanjani.
Kuna siku katika soka timu bora hupoteza.
Yanga wanacheza ki timu ila leo matokeo yamegoma na ndivyo soka lilivyo.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni shabiki wa yanga ila kiukweli hata aje kocha gani hawezi kumuweka benchi saido tusijidanganye humu
 
Upo sawa kichwani humo?
 
Yanga waliocheza vizuri na kutuelemea walishinda bao ngapi? Ngao ya jamii?
 
Ndio kwanza machi 2 na ligi bado haijaanza. Tuwape muda.
 
Nami nakuuliza wewe ,msimu uliopita Simba ilipoongoza kwa kutengeneza nafasi na kufunga magoli mengi (rekodi kwa ligi yetu na hata Africa kwa miaka ya karibuni) mbona haikuchukua ubingwa wowote ikiwa utengenezaji nafasi na ufungaji wa magoli ni vitu muhimu sana kwa timu kufanikiwa kutwaa mataji?


By the way ishu ya kutengeneza nafasi tuseme Yanga wapo vizuri mbona hawakuscore magoli? Unaisifia timu kutengeneza nafasi isizozitumia huoni kwamba haina tofauti na ile ambayo haijatengeneza nafasi linapokuja suala la matokeo mwisho wa mechi?

Tuseme waliofunga magoli ndiyo walicheza vizuri mashindano haya Yanga alimfunga Azamu 2-0 means Azam ni mbovu ila Simba ikashindwa kumfunga Singida afu Azam aliyeshindwa kutengeneza nafasi mechi ya Yanga wala kufunga anamfunga Singida 2-0
Je,tuseme Azam ni timu bora sawa na Yanga ila Simba ni mbovu?

Binafsi naamini ishu ya kuteneneza nafasi ni ishu ndogo tu inayorekebishika mazoezini muhimu strategy ya kushinda in our situatian we have tumeikamilisha .Timu zote zilikuwa Tanga kusaka taji na kalichukua Simba
 
Kinacho watisha wenzako ni kwakua timu hakuna dk ata moja iliyo onekana inaweza kupata goli na wachezaji karibu wote walicheza.
Timu ilizidiwa idara zote.
Usifikiri hawana hoja au hawajui mpira ila kila kitu kilikua hadharani.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hamna kocha mle Ila yanga ni mbovu wameonyesha unadhani ungekuwa mziki wa msimu uliopita tusingefika kule kwa makosa yale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…