Tuache utani Simba kushinda Kwa Al ahly haiwezekani

Tuache utani Simba kushinda Kwa Al ahly haiwezekani

Kwasisi wachambuzi Kila tukiitazama hii mechi unaona inabend upande mmoja yaani Ayubu fc watakula nyingi. Possibility ya Simba kushinda ni sawa taifa stars kuchukua Kombe la AFCON

Al ahly Wana Percy Tau a.k.a goal machine huku ayubu fc Wana Baleke na kibu (ambaye kwenye chance 6 anakosa zote imagine Simba Haina Bacca, Mwamnyeto, Job, Max na Yao (Ukuta wa Yericko)

NB: Mnyama Ili kupunguza mvua kubwa ya magoli, inabidi waingie na plan ya kupaki basi coz atake atapigwa heavily asitake atapigwa heavily
Futino Analisiti
 
Mtani naona Kila ukikaa unaiwaza Simba, hivi huko kwenu hamna habari yoyote zaidi ya kuizungumzia Simba. Kwa sababu rais wa FIFA atakuja tutawaombea nafasi na nyinyi mshiriki mwakani ili muonekane mnakaribia kupingana na sisi
Duh kumbe hii michuano anayocheza simba yanga hawapo dah najuaga muda wote yanga nae yumo. Huku kushambikia mashabiki kunanipotosha sana
 
Kwasisi wachambuzi Kila tukiitazama hii mechi unaona inabend upande mmoja yaani Ayubu fc watakula nyingi. Possibility ya Simba kushinda ni sawa Taifa stars kuchukua Kombe la AFCON

Al ahly Wana Percy Tau a.k.a goal machine huku Ayubu fc Wana Baleke na Kibu (ambaye kwenye chance 6 anakosa zote imagine Simba Haina Bacca, Mwamnyeto, Job, Max na Yao (Ukuta wa Yericko)

NB: Mnyama Ili kupunguza mvua kubwa ya magoli, inabidi waingie na plan ya kupaki basi coz atake atapigwa heavily asitake atapigwa heavily
japo ni kweli simba wanakazi lakini mpira hauchezwi kwa majina
 
Back
Top Bottom