Tuache utani Startimes ndio king'amuzi bora sana

Tuache utani Startimes ndio king'amuzi bora sana

utah jazz

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,816
Reaction score
3,993
Wengi hawajui hili ukitoa DStv ambayo ni worldwide Startimes ni king'muzi bora sana

Ukiwa na Startimes kwa shilingi 21,000 unaangalia
Ligi kubwa za ulaya
Lalita spain
Bundaslige ujerumani
Ligi uholanzi
Ligi ya mpira wa kikapu NBA USA

Chanel za watoto,tamlithilia, habari na vingine vingine kwa 21,000tu

Local channels bure kabisa

Kikubwa zaidi haina maudhui ya udini
 
We mzee laliga na bundesliga , epl je ligi pendwa na kongwe
 
Wengi hawajui hili ukitoa DStv ambayo ni worldwide Startimes ni king'muzi bora sana

Ukiwa na Startimes kwa shilingi 21,000 unaangalia
Ligi kubwa za ulaya
Lalita spain
Bundaslige ujerumani
Ligi uholanzi
Ligi ya mpira wa kikapu NBA USA

Chanel za watoto,tamlithilia, habari na vingine vingine kwa 21,000tu

Local channels bure kabisa

Kikubwa zaidi haina maudhui ya udini
Mi natumiaga dishi la Startimes ila king'amuzi cha Zuku. Ntalipia Startimes nione tofauti maana nao hawana maudhui ya mashariki ya kati kama wale jamaa ambao kila mtu anajifanya mwarabu
 
Wengi hawajui hili ukitoa DStv ambayo ni worldwide Startimes ni king'muzi bora sana

Ukiwa na Startimes kwa shilingi 21,000 unaangalia
Ligi kubwa za ulaya
Lalita spain
Bundaslige ujerumani
Ligi uholanzi
Ligi ya mpira wa kikapu NBA USA

Chanel za watoto,tamlithilia, habari na vingine vingine kwa 21,000tu

Local channels bure kabisa

Kikubwa zaidi haina maudhui ya udini
Nipe bei yake, nimeshawishika.
 
Sijawahi kutumia kwa familia yangu na siwezi kumshauri mwanafamilia kuna jirani yangu amekuwa akililalamika inamaudhui yasiyoendana na imani yake anunue
Unataka kunambia king'amuzi cha Azam Jiko nyuma kuliko Startimes
 
Wengi hawajui hili ukitoa DStv ambayo ni worldwide Startimes ni king'muzi bora sana

Ukiwa na Startimes kwa shilingi 21,000 unaangalia
Ligi kubwa za ulaya
Lalita spain
Bundaslige ujerumani
Ligi uholanzi
Ligi ya mpira wa kikapu NBA USA

Chanel za watoto,tamlithilia, habari na vingine vingine kwa 21,000tu

Local channels bure kabisa

Kikubwa zaidi haina maudhui ya udini
Mkuu uko sahihi kabisa!

Kibongo bongo startime ndio naiona sawa
 
Wengi hawajui hili ukitoa DStv ambayo ni worldwide Startimes ni king'muzi bora sana

Ukiwa na Startimes kwa shilingi 21,000 unaangalia
Ligi kubwa za ulaya
Lalita spain
Bundaslige ujerumani
Ligi uholanzi
Ligi ya mpira wa kikapu NBA USA

Chanel za watoto,tamlithilia, habari na vingine vingine kwa 21,000tu

Local channels bure kabisa

Kikubwa zaidi haina maudhui ya udini
Startimes ipo poa sana,nilikuwa natumia cha 21000 kwa mwezi nikanogewa na kuanza kutumia cha 36000 kwa mwezi unaenjoy mpk basi

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Tamthilia za ki Hindi sizipendi na ndio makao makuu ya Startimes.
Ligi kuu Tz na EPL ndo ligi zangu pendwa hao jamaa hawana. Ni bora nibaki na azam ambao kidogo wanazingatia maadili. Hawaoneshagi tamthilia zenye kupigana denda hovyo hovyo hii ni hatar sana kwa watoto majumbani.
 
Kwa upande wa football, ukitoa DSTV king'amuzi kinachofuata kwa kuonyesha mashindano mengi ya Football ni Startimes Tena kwa HD ya ubora, wanaonyesha Bundasiliga, Laliga, Chinese super league, Copa Italia, Copa delay, Mashindano ya Euro, Word cup qualify for Europe, Word cup qualify for Asian , Word cup, kwa upande wa Africa wanaonyesha ligi ya Kenya na Uganda Na pia wametangaza kwamba wataonyesha AFCON mechi zote 52, Mimi sipo kwenye udini nipo ki uharisia, mimi ni mtumiaji mzuri wa Startimes, nilitaka kununua king'amuzi cha azam family yangu imegoma kabisa, Ligi kuu Tanzania bara nimeamua niwe naangalia vibanda umiza
 
Back
Top Bottom