Huyu aliyekuwa anawaogopa ACCACIA na BARRICKS?kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa kupora cake ya Taifa.
Chadema mtatukosea sana watanzania kama hamtampitisha TL kuwa mgombea wenu. Mh Nyalandu pls muunge mkono TL
Kwa iyo ww unatamani ikulu iendelee kubaki dsm. Dom kule sio promo mzee, ni kwa manufaa na urahisi kwa wananchi, na ni nyerere ndio alitaka. Duh, wabongo bhanaMimi nataka siku nimsikie magufuli anamsifia lissu na lissu anamsifia magufuli na wana alikana pale ikulu magogoni dar sio kule anapo papromo yeye chamwino Dom
Turudi hapa October 2020Serious we na nani bwege ww?rais ni Magufuli mpaka 2025.
Kanye ulale
Msiba wao sababu Marehemu aliipenda sana CCM kuliko Nchi na watu wake.msiba wao msiba wetu?
kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa kupora cake ya Taifa.
Chadema mtatukosea sana watanzania kama hamtampitisha TL kuwa mgombea wenu. Mh Nyalandu pls muunge mkono TL
Mzee baba, hivi kweli unaamini lisu atamshinda magu.Turudi hapa October 2020
KESHO LISU ATALETA HESHMA YA MSIBA HUU JANA NA LEO MZIBA ULIPWAYA SANA YAAANI WATU WANAHIMIZWA KWENDA KUTOA HESH,A ZA MWISHO KUNA KITU WANAMISS Lisu lesho atawajazia UWANJA MUMPATIA NA HESMA YA KUTOA HOTUBA KAMA ALIVYOFANYA Julius Malema siku ya mazishi ya mam Winnie Mandela itanoga ssna
IKIWA HIVYO UCHAGUZI UTAKUWA SI MWEPESI.
Ndio naamini. Nimefanya utafiti na Nina hakika kwa asilimia 100. Turudi hapa October 2020Mzee baba, hivi kweli unaamini lisu atamshinda magu.
Mimi nataka siku nimsikie magufuli anamsifia lissu na lissu anamsifia magufuli na wana alikana pale ikulu magogoni dar sio kule anapo papromo yeye chamwino Dom
kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa kupora cake ya Taifa.
Chadema mtatukosea sana watanzania kama hamtampitisha TL kuwa mgombea wenu. Mh Nyalandu pls muunge mkono TL
Kweli Lissu ni jembe, jamaa ni jasiri anaongea as if hakuna jambo lilotokea hapo nyuma ya kuhatarisha maisha yake.
Wenye msiba wao wanatamani wangekuwa wameshazika saa hii.
kama ni jasiri kwa nini anatembea na walinzi?
duh kweli laki si pesa
Lissu huyu anayeogopa MIGA au mwingine?
Utafiti umeufanyeje?Ndio naamini. Nimefanya utafiti na Nina hakika kwa asilimia 100. Turudi hapa October 2020
Unataka nikwambie methodology niliyotumia?? Iyo ni mada nyingine tena ndefu sana. Itoshe kusema tu kuwa nimefanya utafiti na kujidhihilishia kuwa Magu hawezi kumshinda Lissu vyovyote Vila kwenye uchaguzi coming October 2020Utafiti umeufanyeje?
Wewe endelea kuota mkuu.Unataka nikwambie methodology niliyotumia?? Iyo ni mada nyingine tena ndefu sana. Itoshe kusema tu kuwa nimefanya utafiti na kujidhihilishia kuwa Magu hawezi kumshinda Lissu vyovyote Vila kwenye uchaguzi coming October 2020