Tuache utani! TL ni shujaa, ni mwanaume wa shoka. Hakika he is a living miracle. Akipewa Nchi hatamuonea mtu aibu wala kuogopa

kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa kupora cake ya Taifa.

Chadema mtatukosea sana watanzania kama hamtampitisha TL kuwa mgombea wenu. Mh Nyalandu pls muunge mkono TL
Huyu aliyekuwa anawaogopa ACCACIA na BARRICKS?
au huyu ni mwingine?
 
Mimi nataka siku nimsikie magufuli anamsifia lissu na lissu anamsifia magufuli na wana alikana pale ikulu magogoni dar sio kule anapo papromo yeye chamwino Dom
Kwa iyo ww unatamani ikulu iendelee kubaki dsm. Dom kule sio promo mzee, ni kwa manufaa na urahisi kwa wananchi, na ni nyerere ndio alitaka. Duh, wabongo bhana
 
Hakuna wa kumuweka pembeni mh Lissu, Lissu ndiyo nguzo ya upinzani kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu
kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa kupora cake ya Taifa.

Chadema mtatukosea sana watanzania kama hamtampitisha TL kuwa mgombea wenu. Mh Nyalandu pls muunge mkono TL
 
Upo sahihi sana kabisa ila kwa jinsi wanavyo penda kusifiwa wao, hilo la kumpatia nafasi ya yeye kuhutubia haliwezekani maana wanaona kuwa ni kumpaisha.
KESHO LISU ATALETA HESHMA YA MSIBA HUU JANA NA LEO MZIBA ULIPWAYA SANA YAAANI WATU WANAHIMIZWA KWENDA KUTOA HESH,A ZA MWISHO KUNA KITU WANAMISS Lisu lesho atawajazia UWANJA MUMPATIA NA HESMA YA KUTOA HOTUBA KAMA ALIVYOFANYA Julius Malema siku ya mazishi ya mam Winnie Mandela itanoga ssna
 
Ngumu kumeza hiyo
Mimi nataka siku nimsikie magufuli anamsifia lissu na lissu anamsifia magufuli na wana alikana pale ikulu magogoni dar sio kule anapo papromo yeye chamwino Dom
 
kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa kupora cake ya Taifa.

Chadema mtatukosea sana watanzania kama hamtampitisha TL kuwa mgombea wenu. Mh Nyalandu pls muunge mkono TL

Chadema wanapaswa kumlinda kama mboni huyu mtu wasiache awe anakuwa wazi wazi ni hatari sana kwake. Mungu amemwepusha mengi sana msiruhusu kifo cha kizembe kwake.

Hata huko msibani asiende watu wanaweza kumpa hata mkono kumbe wameweka madawa ya kumwuua wao wakawa wamevaa groves invisible mwisho akafa huyu mpendwa.

Niwaombe sana chadema nyumba yake chakula chake watoto wake na rootes zake ziwe makini kwa mstakabali wa uhai wake. Don’t even trust hata Nyarandu
 
Mkuu unaambiwa kuwa ili dhahabu ipatikane kwenye ubora wake ni lazima ipitie kwenye tanuru lenye moto mkali.
Kweli Lissu ni jembe, jamaa ni jasiri anaongea as if hakuna jambo lilotokea hapo nyuma ya kuhatarisha maisha yake.
 
Utafiti umeufanyeje?
Unataka nikwambie methodology niliyotumia?? Iyo ni mada nyingine tena ndefu sana. Itoshe kusema tu kuwa nimefanya utafiti na kujidhihilishia kuwa Magu hawezi kumshinda Lissu vyovyote Vila kwenye uchaguzi coming October 2020
 
Wewe endelea kuota mkuu.
 
Back
Top Bottom