Huyu aliyekuwa anawaogopa ACCACIA na BARRICKS?kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa kupora cake ya Taifa.
Chadema mtatukosea sana watanzania kama hamtampitisha TL kuwa mgombea wenu. Mh Nyalandu pls muunge mkono TL
au huyu ni mwingine?