The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Mwenyekiti Jaji Mstaaf Kaijage ametangaza wapiga kura halali ni 29M
What? 29,000,000 registered voters?
Hii namba imevunja rekodi....!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyekiti Jaji Mstaaf Kaijage ametangaza wapiga kura halali ni 29M
Sana watu wamejipangaWhat? 29,000,000 registered voters?
Hii namba imevunja rekodi....!!
Mbona hizo sera zipo tokea awamu zilizopita mkuu!Lakin hawa wanao sapotiwa sana na wazungu mm huwa siwaamin kwa 100% maana kwa mzungu hakunaga free meals, ukiona wanakuunga mkono sana jua utawalipa siku ukifanikisha, kama sio kwa raslimali bas kwa kupitisha sela kama zao
Sio rahisi, Lissu hafikii bei na sio mwoga,
Lete picha.kama ni jasiri kwa nini anatembea na walinzi?
Kwanini unafunga mlango usiku? [emoji23][emoji23]kama ni jasiri kwa nini anatembea na walinzi?
tunampa WEWE..Nani ampe nchi??
Mpe mkeo , mama yako na dada yako
kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa kupora cake ya Taifa.
Chadema mtatukosea sana watanzania kama hamtampitisha TL kuwa mgombea wenu. Mh Nyalandu pls muunge mkono TL
Mnalo mwaka huu Lumumba, msiyempenda ndo huyo kaja. Jiandae Iru kumkabidhi magogoni na chamwino hapo October 2020Nani ampe nchi??
Mpe mkeo , mama yako na dada yako
Nani kasema mmetupa uhuru???? We unafikiri barua ya tahadhari kwa kina Diwani na Siro ilikuwa ya mchezo ile?Yaani mmepewa uhuru wa kumpokea bila kubughudhiwa halafu mnakuja hapa kujitapa, shauri lenu
Mwenye nchi ni MwananchiNgoja wenye nchi wamalize msiba huko mi kazi yangu kupiga kipyenga tu,mara pyee faulo,pyee umezidi,pyee penalt ,free kick hapo mtaanza kutaftana
Naona Lumumba mmeamisha goli tayari mmekuja na propaganda nyingine. Mbona nyie mnasapotiwa na wachina??? Shida iko wapi???Lakin hawa wanao sapotiwa sana na wazungu mm huwa siwaamin kwa 100% maana kwa mzungu hakunaga free meals, ukiona wanakuunga mkono sana jua utawalipa siku ukifanikisha, kama sio kwa raslimali bas kwa kupitisha sela kama zao
[emoji1][emoji1][emoji1] basi maisha yamekuwa mazuriNani kasema mmetupa uhuru???? We unafikiri barua ya tahadhari kwa kina Diwani na Siro ilikuwa ya mchezo ile?
Saivi kila linaloendelea hapa wanaume wanalifuatilia na ole wao wafanye ujinga. Wao na boss wao ni arrest warrant tu za icc. Na boss wao saivi kakosana karibu na wote hadi majirani zake sijui nani atamlinda?[emoji1][emoji1][emoji1] basi maisha yamekuwa mazuri
Hukutuona Jana wananchi wenye nchi tukimpokea shujaa??Nyie hamuonekani mbilinge likianza,maarufu sana kupiga porojo
Endeleeni na propaganda zenu tu ila mwaka huu tupo serious kweli . Tumechoka kuwakabidhi nchi watu msio na akili. Tunawapa nchi watu wenye akili ili wafanye maendeleo ya kweli kwetu na vizazi vyetu vinavyokujaTafuta hela Ulee familia,ushabiki wa kibwege huu haukufikishi popote. Na utawaona hao viongozi wako wanatafuna ruzuku tu huku we uko kaput.
Ulinzi hakuuomba yeye. Ni utaratibu wa chamakama ni jasiri kwa nini anatembea na walinzi?