Tuache utani! TL ni shujaa, ni mwanaume wa shoka. Hakika he is a living miracle. Akipewa Nchi hatamuonea mtu aibu wala kuogopa

Tuache utani! TL ni shujaa, ni mwanaume wa shoka. Hakika he is a living miracle. Akipewa Nchi hatamuonea mtu aibu wala kuogopa

Lakin hawa wanao sapotiwa sana na wazungu mm huwa siwaamin kwa 100% maana kwa mzungu hakunaga free meals, ukiona wanakuunga mkono sana jua utawalipa siku ukifanikisha, kama sio kwa raslimali bas kwa kupitisha sela kama zao
Mbona hizo sera zipo tokea awamu zilizopita mkuu!
 
Yaani mmepewa uhuru wa kumpokea bila kubughudhiwa halafu mnakuja hapa kujitapa, shauri lenu
 
kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa kupora cake ya Taifa.

Chadema mtatukosea sana watanzania kama hamtampitisha TL kuwa mgombea wenu. Mh Nyalandu pls muunge mkono TL

LISSU RAIS 2020.
 
Lakin hawa wanao sapotiwa sana na wazungu mm huwa siwaamin kwa 100% maana kwa mzungu hakunaga free meals, ukiona wanakuunga mkono sana jua utawalipa siku ukifanikisha, kama sio kwa raslimali bas kwa kupitisha sela kama zao
Naona Lumumba mmeamisha goli tayari mmekuja na propaganda nyingine. Mbona nyie mnasapotiwa na wachina??? Shida iko wapi???

Korea kusini anasapotiwa na wazungu umeona kimaendeleo ikoje?? Singapore inasapotiwa na wazungu umeona kimaendeleo ipoje?? Dubai inasapotiwa na wazungu umeona kimaendeleo ikoje?? Qatar, Kuwait, Morroco, Bahrain zinasapotiwa na wazungu unajua kimaendeleo zikoje???

Hata sie tunataka tusapotiwe na wazungu na tuongozwe na watu wanaojua maendeleo ya kweli ya watu na vitu ila nchi yetu ipate maendeleo ya kweli
 
[emoji1][emoji1][emoji1] basi maisha yamekuwa mazuri
Saivi kila linaloendelea hapa wanaume wanalifuatilia na ole wao wafanye ujinga. Wao na boss wao ni arrest warrant tu za icc. Na boss wao saivi kakosana karibu na wote hadi majirani zake sijui nani atamlinda?
 
Baada ya Mw Nyerere watanzania wamepata kiongozi wanayempenda bila kulazimishwa!

Wananchi wanatakiwa wakupende kwa ulivyo kiongozi mzuri sio kulazimisha kulipenda jitu katili lunalopayuka kama Idd Amin
 
Tafuta hela Ulee familia,ushabiki wa kibwege huu haukufikishi popote. Na utawaona hao viongozi wako wanatafuna ruzuku tu huku we uko kaput.
Endeleeni na propaganda zenu tu ila mwaka huu tupo serious kweli . Tumechoka kuwakabidhi nchi watu msio na akili. Tunawapa nchi watu wenye akili ili wafanye maendeleo ya kweli kwetu na vizazi vyetu vinavyokuja
 
Back
Top Bottom