Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Acha upuuzi wewe! Hukui tuu?kama ni jasiri kwa nini anatembea na walinzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha upuuzi wewe! Hukui tuu?kama ni jasiri kwa nini anatembea na walinzi?
Hii simu unayotumia inaonekana umepewa na shemeji yako mme wa dada yako unayeishi naye kwakekama ni jasiri kwa nini anatembea na walinzi?
Hizo zilizopo ni sela za kawaida , mm nazungumzia sela za ushoga maana ndizo sela mzungu anazopigania zienee ulimwenguni kwote na yupo tayari kukupa support ili uje uunge mkono huo ushetan wakeMbona hizo sera zipo tokea awamu zilizopita mkuu!
We mbona unajiuza ohioAnapenda sana wazungu.. atatuuza na kutumaliza.. hana uongozi bali kushibisha tummy yake tu..
Kwahiyo unawaamini wanao sapotiwa na wachina si ndio?Lakin hawa wanao sapotiwa sana na wazungu mm huwa siwaamin kwa 100% maana kwa mzungu hakunaga free meals, ukiona wanakuunga mkono sana jua utawalipa siku ukifanikisha, kama sio kwa raslimali bas kwa kupitisha sela kama zao
Na ubongo badala ya kuwa na akili ameweka kamasiKichwa umebaki kufungia nywele na kunyoa kiduku
Mchina hasapoti mtu, yule ni mfanyabiashara na tapeli tu. Ukiona kakusapot jua kuna faida kailengaKwahiyo unawaamini wanao sapotiwa na wachina si ndio?
Changamoto ni NEC hawezi kufikia malengo yakekiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa kupora cake ya Taifa.
Chadema mtatukosea sana watanzania kama hamtampitisha TL kuwa mgombea wenu. Mh Nyalandu pls muunge mkono TL
Kwa nn rais wa wanyonge analindwa kuliko marais wote walio waliomtangulia? Kwa nini Makonda aliwekewa walinzi kila kona anakoenda tofauti na kina Mhandisi Ndikilo,Mtaka,Dr Nchimbi,Mongela. Unataka Lissu awe vulnerable ili iweje?kama ni jasiri kwa nini anatembea na walinzi?
Japo sikubaliani na mambo ya jinsia moja, ila serikali yenu ya ccm chini ya JK ilizipitisha. Rejea Marehemu Mahiga alipotoa tamko kuhusiana na operation hiyo la RC wa zamani "Sio msimamo wa serikali"Hizo zilizopo ni sela za kawaida , mm nazungumzia sela za ushoga maana ndizo sela mzungu anazopigania zienee ulimwenguni kwote na yupo tayari kukupa support ili uje uunge mkono huo ushetan wake
Hiyo kauli ilitolewa sawa na kauli ya mtu atakae sema tuue wachawi wakat sela za serikali haziamin juu ya uchawi. Kumbuka hii kitu sio official hapa kwetu na ukijulikana unashtakiwa kabisa japo wapo, jiulize vip ikipita nn kitatokea?Japo sikubaliani na mambo ya jinsia moja, ila serikali yenu ya ccm chini ya JK ilizipitisha. Rejea Marehemu Mahiga alipotoa tamko kuhusiana na operation hiyo la RC wa zamani "Sio msimamo wa serikali"
Mnalo mwaka huu Lumumba, msiyempenda ndo huyo kaja. Jiandae Iru kumkabidhi magogoni na chamwino hapo October 2020
Acha upimbi hata hilo jiwe lenu linatembea na waziri kibao na magobole yao.kama ni jasiri kwa nini anatembea na walinzi?
Tukisema MATAGA ni kikwazo cha maendeleo tuelewane wakuu ndo kama hivi yaani
Andika vizuri,unatetema nini?Anapenda sana wazungu.. atatuuza na kutumaliza.. hana uongozi bali kushibisha tummy yake tu..
Rudi memkwa.Yaaani watakuwa wanalaani why Mzee u,etutoka kwenye kipindi kama Hichi cha kupatwa kwa jua HAPA Lisuhapa JPM NIKIKUMBUKA YALE MANENO YA SIKU ILE YARIPOTI YA Prof USORO
Umri ulishaenda sana. Kura tu nimeshapiga mara 5 na mwaka huu napiga ya 6