Tuache utani! TL ni shujaa, ni mwanaume wa shoka. Hakika he is a living miracle. Akipewa Nchi hatamuonea mtu aibu wala kuogopa

Tuache utani! TL ni shujaa, ni mwanaume wa shoka. Hakika he is a living miracle. Akipewa Nchi hatamuonea mtu aibu wala kuogopa

Mbona hizo sera zipo tokea awamu zilizopita mkuu!
Hizo zilizopo ni sela za kawaida , mm nazungumzia sela za ushoga maana ndizo sela mzungu anazopigania zienee ulimwenguni kwote na yupo tayari kukupa support ili uje uunge mkono huo ushetan wake
 
Lakin hawa wanao sapotiwa sana na wazungu mm huwa siwaamin kwa 100% maana kwa mzungu hakunaga free meals, ukiona wanakuunga mkono sana jua utawalipa siku ukifanikisha, kama sio kwa raslimali bas kwa kupitisha sela kama zao
Kwahiyo unawaamini wanao sapotiwa na wachina si ndio?
 
kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa kupora cake ya Taifa.

Chadema mtatukosea sana watanzania kama hamtampitisha TL kuwa mgombea wenu. Mh Nyalandu pls muunge mkono TL
Changamoto ni NEC hawezi kufikia malengo yake
 
kama ni jasiri kwa nini anatembea na walinzi?
Kwa nn rais wa wanyonge analindwa kuliko marais wote walio waliomtangulia? Kwa nini Makonda aliwekewa walinzi kila kona anakoenda tofauti na kina Mhandisi Ndikilo,Mtaka,Dr Nchimbi,Mongela. Unataka Lissu awe vulnerable ili iweje?
 
Hizo zilizopo ni sela za kawaida , mm nazungumzia sela za ushoga maana ndizo sela mzungu anazopigania zienee ulimwenguni kwote na yupo tayari kukupa support ili uje uunge mkono huo ushetan wake
Japo sikubaliani na mambo ya jinsia moja, ila serikali yenu ya ccm chini ya JK ilizipitisha. Rejea Marehemu Mahiga alipotoa tamko kuhusiana na operation hiyo la RC wa zamani "Sio msimamo wa serikali"
 
Japo sikubaliani na mambo ya jinsia moja, ila serikali yenu ya ccm chini ya JK ilizipitisha. Rejea Marehemu Mahiga alipotoa tamko kuhusiana na operation hiyo la RC wa zamani "Sio msimamo wa serikali"
Hiyo kauli ilitolewa sawa na kauli ya mtu atakae sema tuue wachawi wakat sela za serikali haziamin juu ya uchawi. Kumbuka hii kitu sio official hapa kwetu na ukijulikana unashtakiwa kabisa japo wapo, jiulize vip ikipita nn kitatokea?
 
Ile ya kondo kujituma katikakati ya Mbwa mwitu ndo hii.
Maandiko yanatimia kati kati yetu. [emoji119][emoji119]

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom