Tuache utani! TL ni shujaa, ni mwanaume wa shoka. Hakika he is a living miracle. Akipewa Nchi hatamuonea mtu aibu wala kuogopa

Tuache utani! TL ni shujaa, ni mwanaume wa shoka. Hakika he is a living miracle. Akipewa Nchi hatamuonea mtu aibu wala kuogopa

Ilikuwa ni lazima arudi nyumbani njaa ya mbali ni kali sana kuliko njaa ya nyumbani.nanilijua tuu kitakacho mrudisha ni njaa.
 
kwa mawazo yako ni shujaa....ila kwa wengi wetu sisi hana jipya ni wale wale tu...............wanataka Nchi kwa tamaa ya madaraka na sio kwa maendeleo.
 
Mkuu hapana sijamaanisha afike bei ni kujiweka mazingira mazuri magufuli ili nchi wa hisani watu rudi shie misaada na yeye astafu vizur Kama kikwete vile ndivyo na maanisha
Ni AIBU kulilia misaada hivi. Tupambane kujitegemea.
 
Hiyo kauli ilitolewa sawa na kauli ya mtu atakae sema tuue wachawi wakat sela za serikali haziamin juu ya uchawi. Kumbuka hii kitu sio official hapa kwetu na ukijulikana unashtakiwa kabisa japo wapo, jiulize vip ikipita nn kitatokea?
Mkuu! Hapa tutabishana bure, serikali yako inayajua hayo mambo, na walishakubaliana na hao watoa misaada.
 
Lissu ni chaguo la M/Mungu.CDM wakimpitisha Nyarandu watakuwa wamefanya kosa kubwa sana na wengi tutakata tamaa.
 
kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa kupora cake ya Taifa.

CHADEMA mtatukosea sana watanzania kama hamtampitisha TL kuwa mgombea wenu. Mhe. Nyalandu please muunge mkono TL
Labda apewe uraisi kule timu ya Yanga, hana sifa za kuongoza nchi. Wewe unaelezea habari ya mtu kunusurika kufa ndio iwe sifa ya uraisi!!
Tuelezee mambo aliyofanya akiwa mbunge huko jimboni kwake. Mtu anasubiri wenzake wakosee ndio aongee huyo ni sifuri.
Labda atuambie alichojifunza huko ughaibuni kama kuna jipya.
 
Hadi hapo veepe
 
Back
Top Bottom