uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
Ilikuwa ni lazima arudi nyumbani njaa ya mbali ni kali sana kuliko njaa ya nyumbani.nanilijua tuu kitakacho mrudisha ni njaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni AIBU kulilia misaada hivi. Tupambane kujitegemea.Mkuu hapana sijamaanisha afike bei ni kujiweka mazingira mazuri magufuli ili nchi wa hisani watu rudi shie misaada na yeye astafu vizur Kama kikwete vile ndivyo na maanisha
Mkuu! Hapa tutabishana bure, serikali yako inayajua hayo mambo, na walishakubaliana na hao watoa misaada.Hiyo kauli ilitolewa sawa na kauli ya mtu atakae sema tuue wachawi wakat sela za serikali haziamin juu ya uchawi. Kumbuka hii kitu sio official hapa kwetu na ukijulikana unashtakiwa kabisa japo wapo, jiulize vip ikipita nn kitatokea?
Mbona wewe umevaa shanga na hirizi kiunoni huo nap si Ni ulinzi?kama ni jasiri kwa nini anatembea na walinzi?
Fanya TOBA ewe farao! MUNGU AMEMPONYA YULE MLIYETAKA AONDOSHWE.Ilikuwa ni lazima arudi nyumbani njaa ya mbali ni kali sana kuliko njaa ya nyumbani.nanilijua tuu kitakacho mrudisha ni njaa.
TrueWatu wengi tunapenda tushabikia tu ila kura unakuta mtu anampa mwingne.
Kama kura zisingekuwa ni siri ndio watu wangejua unafiki wa wapigaji kura
Labda apewe uraisi kule timu ya Yanga, hana sifa za kuongoza nchi. Wewe unaelezea habari ya mtu kunusurika kufa ndio iwe sifa ya uraisi!!kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa kupora cake ya Taifa.
CHADEMA mtatukosea sana watanzania kama hamtampitisha TL kuwa mgombea wenu. Mhe. Nyalandu please muunge mkono TL
Hadi hapo veepeLabda apewe uraisi kule timu ya Yanga, hana sifa za kuongoza nchi. Wewe unaelezea habari ya mtu kunusurika kufa ndio iwe sifa ya uraisi!!
Tuelezee mambo aliyofanya akiwa mbunge huko jimboni kwake. Mtu anasubiri wenzake wakosee ndio aongee huyo ni sifuri.
Labda atuambie alichojifunza huko ughaibuni kama kuna jipya.