Tuacheni Kujipa Moyo, Ndoa kwa Kizazi cha Sasa ni Gereza la Mateso

Sjaona Kama anakataa ndoa nimeona anatoa sbabu za WATU kukataa ndoa nasababu zenyewe ndiyo hizo hapo juu

Napia katoa ushauri kuhusu namna ya kuishi na ndoa kupitia mifumo ya kizamani mkuu

Nina Imani hujamuelewa
Mkuu sijawahi kukataa Ndoa mahali popote.
Kuna sehemu unapishana na Mimi.
Soma Kwa utulivu
 
Maandalizi mema ya sabato.
 
Bado zipo model za wanawake wasomi, na wapo so humble, lovable and God fearing. Ila kuwapata ni kwa neema ya Mungu tu.
 
Ukweli Mtupu, Aka kamfumo nilikaapply katika Penzi fulani nilipoona Democracy inapunguza utamu Mwanzo ilikua ngumu ila badae ilileta Radha Kamili na Kwakweli Mtoto wa Mamkwe anaenjoy hajutii Mfumo wa Kifalme. Vikao vingi na Mwanamke kutafuta makubaliano katika kila jambo inafelisha Michongo sana afu Umama unakua Mwingi.
 
Si vibaya kumsikiliza Mwanamke ila Ikumbukwe tu.....
Mwanamke anasikilizwa kwenye Mambo madogomadogo kama Vile Bebi tukaoge, baby njoo tulale sawaa.
Ila sio important heavy matters za Maisha kama Maamuz juu ya Watoto, Uchumi nk.
Utakuja kulia kilio cha Samson Wewee Punguza Mahaba Hawa Viumbe sisi sio type zao wanatwambia kila siku maana wao ni type za Shetani.
Au huo hamwelewi nini hapo?
 
Mantiki yako nailewa ila hii taasisi ya ndoa ili ibaki na heshima ni lazima kama tutaamua kubaki na mifumo ya kizamani basi ibaki hivyohivyo tu. Unapoamza kusema ishi kwa mifumo ya kizamani halfu baadhi ya mambo ui gize usasa tayari unaweka doa.

Ninachodhani ndoa ili istahimili inahitaji mwanaume hasa anayeweza kusimamia mke pamoja na watoto(familia) kwa hekima kubwa. Tusizikatae ndoa nadhani tunapaswa kuelimishana ni kwa namna gani tunaweza kukabiliana na changamoto za kisasa kwenye ndoa.

Jiulize tunatengeneza kizazi cha namna gani tukianza kuzipinga ndoa sasa hivi? Mtoto wako akija kukuuliza wewe ulikulia kwenye ndoa au nini na mbona yeye hajakulia kwenye utamjibu ni kwa sababu ya changamoto za kisasa ndio zilipelekea hata yeye asikulie kwenye ndoa?

Maana yake. Tunakimbia matatizo hapo umemfundisha kutokuwa responsible na mambo yake.

Pia naona na yeye utakua emfundisha cha kufanya akiwa mkubwa.
 
Radha=[emoji735]
Ladha=[emoji736]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…