Tuagane hapa, muage umpendae hapa, kuonana mwakani 2017

Tuagane hapa, muage umpendae hapa, kuonana mwakani 2017

Wana JF woote, muwe na mwaka mpya wenye mafanikio zaidi na afya njema.

My sincere apologies kwa mwanaJF yeyote niliyemkwaza na kumkosea kwa namna yoyote ile. IMPERFECTION was inherited. So tusameheane and we kick-off afresh.

Mwaka 2017 ni mwaka wa neema na kutekeleza our plans & missions towards our Visions!

Tuendelee kustruggle. Hustling on progress until the end of time.

Tuombeane uzima, na hakikisha unailinda AFYA yako kwa gharama yoyote ile, maana AFYA ndo mtaji mkuu chini ya jua.

Remember To Keep Yourself Alive Coz There's Nothing More Important Than That.

Kwaheri 2016 na makando kando yako. Wacha tulobaki tusonge. Cheers 2017... let's take-off beiiby.

-Kaveli-
 
Namtakia mke wangu kipenzi scorpio me kheri ya Mwaka mpya 2017 na aendeleze penzi letu familia yetu idumu daima.

Namtakia onyo kubwa sana kijana msumbufu kwa wake za watu Saint Ivuga mwaka wa Tahadhari kubwa sana 2017. Akiendelea huenda 2018 ikamkuta hana sikio. Endelea kunyemelea tu
 
Heri ya mwaka mpya JF members wote
New friends mnakaribishwa...
 
Namtakia heri ya mwaka mpya maxence mello!!!!
 
Keen appreciations & much respect to mkuu barafu. I must be thankful to you kwakweli. For the entire year 2016, threads zako humu zimekuwa very inciting and educative to me, and hopefully to other members as well. I honor your line of thinking in all writings that you ink.

Among others, YOU will always have my maximum respect & attention... not only because you are an old aged person, but also a cool nice person... kweli wewe ni 'barafu'.

Long live kiongozi. Happier New Year to you sir barafu. Let 2017 shine further upon you Mzee wetu.

-Kaveli-
 
mi siagi ila niwatakie happy new year member wote wa jamii forums pamoja na uongozi mzima Mungu ni mwema mwaka 2017 ni mwaka wa kuinuka kwangu mno najiona nikiwa juu sana kiuchumi kiafya kiroho yani in all aspects there will be a very big increase Mungu awabariki
 
Valentina, umekuwa ni miongoni mwa dada zangu wa maana sana 2016.
Hakika nitaendelea kukuombea Muumba aendelee kukupa afya njema 2017, Mungu akubariki na 2017 ambayo naamini utapewa neema ya kuione na iwe ya baraka kwako....hivi kaka yetu vipi hujamweka kwenye post!!!
Baraka hizo na zingine zije na kwako pia my kaka... 2017 ukawe Ni mwaka wa kutimiza malengo na kua karibu zaidi Mungu wetu
 
Wishing you all a happy and prosperous new year,special greetings to PATIENCE123
 
Evelyn salt...japo sikujui unijui lakini nakupenda kwa dhati...nakutakia h
Kheri ya mwaka mpya
 
Niwatakie mwaka mpya mwema wana JF wote wale wanaoikosoa serikali kama mimi, na Ben saane popote alipo.
 
Keen appreciations & much respect to mkuu barafu. I must be thankful to you kwakweli. For the entire year 2016, threads zako humu zimekuwa very inciting and educative to me, and hopefully to other members as well. I honor your line of thinking in all writings that you ink.

Among others, YOU will always have my maximum respect & attention... not only because you are an old aged person, but also a cool nice person... kweli wewe ni 'barafu'.

Long live kiongozi. Happier New Year to you sir barafu. Let 2017 shine further upon you Mzee wetu.

-Kaveli-
Asante sana mkuu Kaveli
Sidhani kama ninastahili sifa zote hizo....Kwa unyenyekevu nasema sante sana
 
Back
Top Bottom