Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Hata kama mkali aongeze ka mshahara basi.Watanzania wengi hatujui tunachokitaka tulikuwa na Rais mpole aaah! Watu humu wakaponda wakamtaka mkali sasa kaja ananyoosha habari za madili,michongo kapiga pin wanaanza maneno tena.
Taabu kweli hawa watu.
Ibara ya ngapi inatamka ingezeko la mishara?wapi? nyongeza ya mishahara kila mwaka ipo kikatiba.
Kwani hajaongeza mishahara?Hata kama mkali aongeze ka mshahara basi
Ngoja nikae kimya.CHAGU & UGALI.
Watanzania wengi hatujui tunachokitaka tulikuwa na Rais mpole aaah! Watu humu wakaponda wakamtaka mkali sasa kaja ananyoosha habari za madili,michongo kapiga pin wanaanza maneno tena.
Taabu kweli hawa watu.
Habari za kufaidika na utawala zatoka wapi?Kitu ambacho hufahamu, madictator wote huwa na watetezi wao. Kimsingi wote wanaofaidika na utawala wa madictator hufanya Utetezi wote wawezao kuhakikisha ukweli huo haukai hadharani. Unapoingia kwenye nchi yoyote ambayo chaguzi zote hunajisiwa kwa usimamizi wa mifumo, unahitaji kuwa na akili ndogo sana kutetea udictator kwenye nchi hiyo. Je Tanzania iko tofauti na mambo hayo, tukianzia chaguzi zote za marudio ndani ya miaka hii mitano, kilichotokea kwenye uchaguzi wa SM, na hivi majuzi uchaguzi mkuu. Hapo ni kila mtu na nafasi yake kwenye kufaidika na mazingira ya utawala huo.
Utakuja kuukabali ukweli baada ya JPM kutoka madarakani.Tofautisha kiongozi mkali na mwenye jazba. Nyerere kwa kiwango fulani alikuwa mkali.
Habari za kufaidika na utawala zatoka wapi?
Ukweli upi ambao hapa Tanzania watu wanafichwa?
Uchaguzi hapa Tanzania unanajisiwa kivipi?
Sheria zipo wazi dogo tindo kama kuna faulo kwenye uchaguzi kwa nini hamkuenda kudai ubunge?
Na hapo ndipo mnapokosa credibility mbele ya wananchi.Ukadai ubunge wapi, walioagizwa uchaguzi uchezewe, hao hao ndio wenye maamuzi mahakama iendeshe vipi kesi.
Utakuja kuukabali ukweli baada ya JPM kutoka madarakani.
Usishangae sana. Kusema Rais wa Tanzania ni sera ya vyama fulani. Na wanatumia rasilimali watu muda na pesa, vikichanganywa na uongo na habari zilizofinyangwa chini ya tanuru la propaganda!Kabla ya kujadili mada husika napenda kuwakumbusha wadau kuwa utawala wa kidikteta huwa unakuwa na sifa kubwa mbili,kwaza hakuna demokrasia hii ni sababu hakuna uchaguzi. Maana wanaotawala huingia madarakani kwa mabavu. Pili ni utawala usiofuata misingi ya katiba na sheria...
Tindo nani anajazba sasa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tofautisha kiongozi mkali na mwenye jazba. Nyerere kwa kiwango fulani alikuwa mkali.
Na hapo ndipo mnapokosa credibility mbele ya wananchi.
Hapa Tanzania hakuna one man show. Usitoe tuhuma kwa hisia tu.Ukweli upi labda. Mimi sio muumini wa mtu, bali ni muumini wa mifumo. Kiongozi mzuri ni yule anajenga mifumo na sio mambo ya one Man show.
Dogo kama binadamu anaonewa na akichoka, bunduki wala mizinga hawezi kuiogopa.Hivi unadhani wananchi hawajui kinachoendelea, au kwakuwa wako kimya na hawawezi kuonyesha hisia zao kwa kuogopa kutekwa, kuuwawa ama kuhujumiwa shughuli zao Za kuwaingizia vipato?
Hapa Tanzania hakuna one man show. Usitoe tuhuma kwa hisia tu.
Ukadai ubunge wapi, walioagizwa uchaguzi uchezewe, hao hao ndio wenye maamuzi mahakama iendeshe vipi kesi.
Nyie walalamikaje wengi hamjui Mamlaka.Tofautisha kiongozi mkali na mwenye jazba. Nyerere kwa kiwango fulani alikuwa mkali.