Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,573
Mtu anayetishia watu kuwa wasipomletea mbunge na diwani hapeleki maji,tena anaapa kabisa!Huyo kiongozi ni nani zaidi ya dikteta??Mpaka anatisha wananchi?
Halafu kesho anakuja kutaka kodi kwa nguvu na kufilisi watu!Nitaendelea kuwa nilivyo tu,mambo ya kudai risiti wala sijishughulishi nayo!
Halafu kesho anakuja kutaka kodi kwa nguvu na kufilisi watu!Nitaendelea kuwa nilivyo tu,mambo ya kudai risiti wala sijishughulishi nayo!