Tuambiane ukweli: Tanzania hakuna utawala wa kidikteta

Tuambiane ukweli: Tanzania hakuna utawala wa kidikteta

Kwetu utawala ni demokrasia wapinzani ndio walituchelewesha! 5 tena
 
Ukweli huo sio wa kutafuta, labda kama unataka uzi wako uwe na page nyingi kwa ubishi usiokuwa na msingi.
Acha kunichekesha,nipe ushahidi kuwa Tanzania ni show ya mtu mmoja.

Kama ndio hivyo anateua wawakilishi,cabinet na kuna PM akiwa na VP hawa wote huwaoni?
 
Habari za kufaidika na utawala zatoka wapi?

Ukweli upi ambao hapa Tanzania watu wanafichwa?

Uchaguzi hapa Tanzania unanajisiwa kivipi?

Sheria zipo wazi dogo tindo kama kuna faulo kwenye uchaguzi kwa nini hamkuenda kudai ubunge?
Kama mwaitenda vile miti mibichi, na mikavu je.

- kwenye chaguzi hapo kuna matatizo mapya na ya zamani yaliyoshamiri awamu hii.
 
Kabla ya kujadili mada husika napenda kuwakumbusha wadau kuwa utawala wa kidikteta huwa unakuwa na sifa kubwa mbili,kwaza hakuna demokrasia hii ni sababu hakuna uchaguzi. Maana wanaotawala huingia madarakani kwa mabavu. Pili ni utawala usiofuata misingi ya katiba na sheria...
Kwenye ubora wako was kulamba
 
Nyie walalamikaje wengi hamjui Mamlaka.
Mnataka maisha ya ki-civics civics Sijui Democracy, rule of law, mnatoa mamb kwenye vitabu wakat uhalisia hauk hivyo
nenden mkasome historia ya mataifa makubwa

Yamefanyaje labda hayo mataifa makubwa? Sasa hivi ndio mara ya kwanza nchi hii kupata uongozi?
 
Mbona Idd Amini aliuwa waganda hapo na hawakumfanya lolote mpaka Jeshi la Tanzania lilivyomtoa Amini?
Dogo hujui historia vizuri, Waganda walipigana kumtoa Amin,Tanzania tuliwapa backup tu.
 
Dogo hujui historia vizuri, Waganda walipigana kumtoa Amin,Tanzania tuliwapa backup tu.

Kama walipigana hakuna anayejali hilo, ila Amin aliendelea kuua mpaka Jeshi la Tanzania lilipoingia na kwenda kumtoa. Hiyo historia yako izangatie ukweli huo.
 
Kama walipigana hakuna anayejali hilo, ila Amin aliendelea kuua mpaka Jeshi la Tanzania lilipoingia na kwenda kumtoa. Hiyo historia yako izangatie ukweli huo.
Nakukatalia kuwa waganda waliridhika na utawala wa Amini.
 
Watanzania wengi hatujui tunachokitaka tulikuwa na Rais mpole aaah! Watu humu wakaponda wakamtaka mkali sasa kaja ananyoosha habari za madili,michongo kapiga pin wanaanza maneno tena.

Taabu kweli hawa watu.
tusubiri kwanza wakina lissu na amsterdam wawawekee vikwazo vya kiuchumi marekani kwa kuvunja demokrasia
 
tusubiri kwanza wakina lissu na amsterdam wawawekee vikwazo vya kiuchumi marekani kwa kuvunja demokrasia
Lisu ametulia nyumbani kwao Brussels hataki usumbufu.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu ebu nifafanulie hii kauli---

"Yani mkuu wa mkuu wa mkoa ,mkuu wa wilaya, Mkurugenzi niwateue mm halafu ashinde mtu wa upinzani mtanitambua"

Je hapo Rais katumia kauli ya kidikteta au ya kidemokrasia?
 
Hapa Tanzania hakuna one man show. Usitoe tuhuma kwa hisia tu.
naona sasa mmetumwa
  • hivi hao wote fedha zao zilizozimwa ina ,aama mi tuhuma? Benki zote lazima zitoe siri za wateja kuwa wana kiasi fulani, bila maelezo biashara ni mufilisi na unapewa uhujumu uchumi
  • ndani ya chama kujipanga ukoo na kabila moja ni wapi tunaenda sasa
  • watendaji wato wa Kata kuitwa na kupewa muongozo
 
Nyie walalamikaje wengi hamjui Mamlaka.
Mnataka maisha ya ki-civics civics Sijui Democracy, rule of law, mnatoa mamb kwenye vitabu wakat uhalisia hauk hivyo
nenden mkasome historia ya mataifa makubwa
Afadhali wewe umekiri nchi inaendeshwa kidikteta na kwamba hayo mambo ya demokrasia ni danganya toto!
 
Back
Top Bottom