Tuambie huwa unatumia dawa gani ya meno?

Tuambie huwa unatumia dawa gani ya meno?

Aquafresh iko poa sana, sema sikuhizi inapatikana kwa shida sana sijui kwa nn. Kuna hizi huwa naona zinauzwa sana kwenye mabus Vigor doctor, nimenunua moja natumia sioni kama ina maajabu yeyote tofauti na wanavyozipamba
 
Kwa sisi watumiaji wa Colgate mnaponunua mzingatie na hizi alama kulingana na mahitaji yako
 

Attachments

  • Screenshot 2023-09-07 115755.png
    Screenshot 2023-09-07 115755.png
    63.5 KB · Views: 27
Yah. Mbadala wake ndo hiyo colgate charcoal. Ila sidhani km inawork out kama mkaa halisi.
Nilienda village mwaka gulani Bibi akasema Meno yako meupe sana sasa ili yasiharibike uwe unatumia na mkaa. Nimekuwa mtumiaji mzuri tu
 
Back
Top Bottom