Tuambie huwa unatumia dawa gani ya meno?

Tuambie huwa unatumia dawa gani ya meno?

Dabur...dawa yangu pendwa toka enzi na enzi.

Kuna kipindi nilijaribu hiyo RED...ilinishinda,
Dawa inawasha mdomon km pilipili za wahindi.
 
kipindi nasoma o level huko njombe kuna siku tulienda porini kubeba mbao,wanafunzi wenzetu wenyeji wa kule kuna mti waliuvamia na kukata vipande vya matawi yake halafu wanachomeka kwenye vitunda vyake wana ng'ata halafu wanasugua kwenye meno,na mimi nikajaribu ila meno yanakuwa meupe kabisa yaani had raha . Ila sasa mdomo hautulii dadeq[emoji23] unakuwa na ukakasi na miwasho hauwez fumba mpaka ukale chumvi au usukutue na maji ya chumvi.
Natamani niujue ule mti
 
MKAA MKAA MKAA
Wataalam wa mambo wanasema Dawa nyingi za viwandani si salama sana
 
Mimi sina dawa maalum inategemea na bajeti, ila mara nyingi nacheza na Whitedent/Colgate
 
Back
Top Bottom