Na gesi pia. Chuo kuna week 2 tulienda data collection, vyakula ni wanga na ngano tupu hamna kupumzika na ni sehemu huwezi fanya machaguziMImi pia nina kiungulia na dawa kubwa ni majivu yale ya motomoto au magadi. Kinakata kabisa
Kuna siku nilipatwa na kiungulia bibi yangu akaniambia nilambe majivu.. My friend
Dawa za wahenga sio mchezo. Mimi kipindi cha nyuma nikiwa sekondari nilikua na safiri safiri sasa kuna wakati tumbo linauma huelewi mama angu akanambia dawa yake ni kuchukua mate halafu paka kwenye kitovu. Nimefanya mara nyingi tu na imenisaidia sana yan tumbo linakata kabisa.Na gesi pia. Chuo kuna week 2 tulienda data collection, vyakula ni wanga na ngano tupu hamna kupumzika na ni sehemu huwezi fanya machaguzi
Nimerudi town gesi mpk tumbo linauma.. nikampigia mama, mama akanambia nikoroge majivu ninywe.
Ila hizi dawa za wahenga πππ
Kwanini? Thibitisha ni kamba kweliHii ni kamba
Iyo Senaodyne unyama sana. Ila duh hadi dawa ya meno ina mood??Inategemea na mood ya muda huo.
Ila nina colgate herbal, colgate charcoal na sensodyne. Nikiwa dar siku 1,1 nasugua na mkaa.
Duh! ππ hii mpyaDawa za wahenga sio mchezo. Mimi kipindi cha nyuma nikiwa sekondari nilikua na safiri safiri sasa kuna wakati tumbo linauma huelewi mama angu akanambia dawa yake ni kuchukua mate halafu paka kwenye kitovu. Nimefanya mara nyingi tu na imenisaidia sana yan tumbo linakata kabisa.
Vipi wewe ilikua inakusaidia?
ππ zote ziko hapo. Sasa nikiamka akili itakayoshika ndo hiyo hiyo.Iyo Senaodyne unyama sana. Ila duh hadi dawa ya meno ina mood??
Kiukweli ni maajabu na sielewi kunakua na connection gani kati ya mate na kitovu mpaka kupelekea kukata maumivu ya tumbo. SIELEWIDuh! ππ hii mpya
Yah ilisaidia ndio maana sijaisahau
Sisi ni iliyopo karibuππ zote ziko hapo. Sasa nikiamka akili itakayoshika ndo hiyo hiyo.
hili la mkaa nimependa binti yanguInategemea na mood ya muda huo.
Ila nina colgate herbal, colgate charcoal na sensodyne. Nikiwa dar siku 1,1 nasugua na mkaa.
Watu wengi hawajui usafi wa kinywa unafanywaje. Wengi wanafikiri ni kusugua meno tu kwa dakika 2. Usafi wa kinywa si wa dakika mbili.Ila tuongee ukweli tatizo la vinywa kutoa harufu mbaya bongo ni kubwa sana..
Pengine dawa za kinywa tunazotumia zina shida au watu wengi hawali kwa wakati yaani midomo inatema sio poa..
Hii dawa ni balaa ina washa kama pilipili.View attachment 2908089
Chuma hiki hapa...ila sio tamu,kama unapenda vitamu hii haikufai.
Hamna kitu hapo. Sabuni nzuri ya kusafishia kinywa ni ile ambayo Haina fluorideMimi nimeweka kambi hapa kwa Colgate max fresh, hakika iko vizuri sana. Nilikuwa na tatizo la fizi kutoa damu ila baada ya kutumia hii tatizo limeisha.View attachment 2908041
Tushirikishe wewe huwa unatumia dawa gani unaposwaki meno yako?
Ni kisanga....ila nishaizoea.Hii dawa ni balaa ina washa kama pilipili.