kipindi nasoma o level huko njombe kuna siku tulienda porini kubeba mbao,wanafunzi wenzetu wenyeji wa kule kuna mti waliuvamia na kukata vipande vya matawi yake halafu wanachomeka kwenye vitunda vyake wana ng'ata halafu wanasugua kwenye meno,na mimi nikajaribu ila meno yanakuwa meupe kabisa yaani had raha . Ila sasa mdomo hautulii dadeq[emoji23] unakuwa na ukakasi na miwasho hauwez fumba mpaka ukale chumvi au usukutue na maji ya chumvi.
Natamani niujue ule mti