Tuambie jina lako la Burundi unaitwa nani?

Tuambie jina lako la Burundi unaitwa nani?

Sisi tulishahahau hizo PhD na Uprofessor miaka kadhaa. Ni title za kawaida na hakuna kujikweza. Tunachezea keyboard tu hapa Ila ingetokea siku Moja tutambuane kuna mishangao mingi Sana tungekutana nayo. Halafu hili famba linaongea live na kuzungusha kiti eti Mimi Daktari wa uchumi. Umeshindwa kubuni mbinu na mikakati ya kuongeza tax base unakuja na upuuzi wa kuumiza walipa kodi wakewale? We mbuzi kama wale uliokuwa unachunga kwenu. Halafu ndiyo lilikuwa linaimba pambio la Wanyonge. Swine mkubwa
 
Yuvenal Abyerimana si mbaya Sana hili litanifaa sana. Mwigulu tumekuachia nchi yako. Eti ya chinichini kumbe unaukodooea urais 2025 hivyo unafanya kila mbinu kumchafua Boss wako ili tumchukie. Sahau urais dog. Huo uchumi sisi tumeusoma miaka ya early 80s na hatujawahi kusikia au kuona kichwa mbuzi cha uchumi kama wewe. Halafu unajidai eti Doctor wa Uchumi labda doctor Kalimanzila kwenu huko. Hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom