Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Mkiyamwigulu Nkiyanchema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madelu...Katika kutekeleza kauli ya Waziri wa Fedha, ya kututaka tuhamie Burundi kama hatuwezi kulipa tozo za miamala ya simu, jina lako la Burundi unaitwa nani? Mimi naitwa Renzoimana Barberashimiye.
Kuna gari ya jioni imebaki siti moja tukuwekee nafasi?Hivi nauli ni shilingi ngapi?nahitaji na namba ya dalali warundi wenzangu[emoji1787][emoji1787]
Sieni Dedee Efu DedeeCndd fdd
Hahhaa ukiwa na stress umependa mwenyeweJf bana[emoji23],leo sili kutwa nzima kwa furaha za hivi vituko vya humu[emoji23]
Mfuko umetoboka[emoji23][emoji23]
tamko litoke mara ngapi mkuu?Umeenda kabla ya tamko!?
Rutashobia besijyeKatika kutekeleza kauli ya Waziri wa Fedha, ya kututaka tuhamie Burundi kama hatuwezi kulipa tozo za miamala ya simu, jina lako la Burundi unaitwa nani? Mimi naitwa Renzoimana Barberashimiye.
Ahaaa naenda kusemaMwifwaishomiye Mwifwaimana
Kama umetutukana na wewe hivyo hivyo bhana.Mbaytzye uweyezu
Amahoro..👋Amakuru?
Mimi ni Ninziza Bercine Ciza.
Urakoze cyane.