😂😂😂 iyo umenikumbusha mbaliEnzi hizo nipo maeneo ya shule ya mchikichini kwa wazee wa mapindi nilikua na sister angu binamu mmoja alikua na bahasha wake anauza viepe mtaa wa sikukuu basi ilikua kila siku namtimbia na mwanangu mmoja kua tumeagizwa viazi,,,jamaa alikua wa kuja full kujaza chips yai na kuku sometime hadi hela alikua anatoa maana alikua anajua vinaenda kwa dem wake kumbe ngoma vinaishia njiani..na simu zilikua hazipo jamaa alipataga tabu sana[emoji53] [emoji53] [emoji53]
ha ha ha wapi hiyo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] iyo umenikumbusha mbali
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nilikuwa nawahi sana kwenda kulala ili nishituke usiku mnene kushuhudia mzee baba na mama la mama wakibanduana!![emoji23] [emoji23]
Roho ya pepo ilikuingia mapema sana jamaaaSiku zote nakumbuka jambo moja la utundu sana nililofanya nikiwa mdogo ambalo sintakaa nilisahau. Ni kwamba kulikuwa na za umeme nje ya nyumba ambazo zilikuwa zimekatwa na ziko wazi, Na siku zote tulijua kwamba hizo nyaya zilikuwa na umemem, na nikawa wa kwanza kuwaambia watoto wenzangu wasiziguse.
Lakini sijui nilipata wazo gani pale ambapo nilitoa bamia yangu na kuamua kuzikojolea! Naambiwa kelele niliyopiga ilikuwa ya kkutisha kama ya mnyama ambaye hajawahi kugunduliwa. Bila kutambua nilijikuta nimelala chini mbali na sekemu nilipokuwa nimesimama, ambapo bila kujitambua nilimalizia mkojo wangu kwenye kaptula!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku zote nakumbuka jambo moja la utundu sana nililofanya nikiwa mdogo ambalo sintakaa nilisahau. Ni kwamba kulikuwa na za umeme nje ya nyumba ambazo zilikuwa zimekatwa na ziko wazi, Na siku zote tulijua kwamba hizo nyaya zilikuwa na umemem, na nikawa wa kwanza kuwaambia watoto wenzangu wasiziguse.
Lakini sijui nilipata wazo gani pale ambapo nilitoa bamia yangu na kuamua kuzikojolea! Naambiwa kelele niliyopiga ilikuwa ya kkutisha kama ya mnyama ambaye hajawahi kugunduliwa. Bila kutambua nilijikuta nimelala chini mbali na sekemu nilipokuwa nimesimama, ambapo bila kujitambua nilimalizia mkojo wangu kwenye kaptula!
Imenibidi Niweke Comment, You Have Made My Day Mkuu!Nilikuwa nawahi sana kwenda kulala ili nishituke usiku mnene kushuhudia mzee baba na mama la mama wakibanduana!![emoji23] [emoji23]
Matukio mawiliSiku zote nakumbuka jambo moja la utundu sana nililofanya nikiwa mdogo ambalo sintakaa nilisahau. Ni kwamba kulikuwa na za umeme nje ya nyumba ambazo zilikuwa zimekatwa na ziko wazi, Na siku zote tulijua kwamba hizo nyaya zilikuwa na umemem, na nikawa wa kwanza kuwaambia watoto wenzangu wasiziguse.
Lakini sijui nilipata wazo gani pale ambapo nilitoa bamia yangu na kuamua kuzikojolea! Naambiwa kelele niliyopiga ilikuwa ya kkutisha kama ya mnyama ambaye hajawahi kugunduliwa. Bila kutambua nilijikuta nimelala chini mbali na sekemu nilipokuwa nimesimama, ambapo bila kujitambua nilimalizia mkojo wangu kwenye kaptula!
We ulikuwa mtambo inaonekana unapenda mizigo yenye vyuraMatukio mawili
1.nikiwa darasa la tatu au nne nilienda kwa mganga wa kienyeji kutafuta Dawa ya kupendwa na mwanamke aitwaye Lucy..
Nilikuwa nampenda Sana Lucy . Kabla sijapewa dawa nilishtukiwa na mama nilipgwa Sana..
2.nilimtongoza mama mjane mtu mzima umri Kama wa mama yangu mama akanichenjia kanipeleka kwa baba nikala vibano vingi sana
Duh!!!Niliwai kubaka kuku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kujigaragaza kwenye vumbi baada ya kuogeshwa ili kumkomoa dada.
Duh!!!Mie niliwahi kubakwa.
Ila sikujua kama ilikuwa mbele au nyuma.