chumanile
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 300
- 342
Members.
KILA MTU ana maisha Fulani ivi ameyaishi. Katika ukuaji wake. Tukiwa bado wadogo tuna jishepu kutokana na maisha HALISI ya kwenu na wazazi wetu.
Mimi binafsi nimeisha maisha ambayo ata ukiniambia niyarudie sito kubali. Nimeisha katika MAZINGIRA magumu mno, KIASI Cha kujitegemea nikiwa mdogo. Kuanzia ngazi ya family, mtaani, masomo adi nakua MKUBWA aisee ni hatari sana. Katika ukuaji wangu na harakati zangu KWA ujumla. Hapo ndipo nilipo kutana na LUNDO la majina. Ila Leo nitayataja MAJINA kumi ya mwanzo ambayo nimepewa katika maende tofauti tofauti na yalivyo patikana. Kisha, nitaendelea muda mwingini.
1- TALL MNYAMA.
Mi nimrefu kweli RAKINI nilipewa na HIKO kivumisha mnyama KWA SABABU Mnyama hana exchuuz akitoka katoka. Nilikua hivyo ukiingia 18 zangu nakuwasha kweli. Watu wa Manzese, Mburahati, Midizini wanaelewa kuwasha Nini kitu Gani?
2- NYAPALA.
Popote nilipo najipa uongozi KWA lazima au napewa uwongozi kuwasimamia wale wasio taka kufata maangizo. School wanalijua HILO jina. Mi MTU WA kunyoosha sana ukipinda NYAPALA NAFANYA KAZI YANGU.
3- NYENGERE.
(Mnyama Fulani ivi mpishi aogopi) Nikiwa Bado mdogo ungovi wangu hawishi mpaka nishinde. Aijalishi weweni MKUBWA KIASI Gani. Sipendi kuonewa, au kuonea mwingine nikiwepo. Aaah ugovi huo naununua mpaka haki itendeke.
4- FAITA.
Sikuawai kulala NJAA hata SIKU MOJA. Kuanzia NYUMBANI adi mtaani kwetu. Nyumba kwetu kulikua hapakauki waskaju, KWA SABABU wakiwa na Mimi hakuna kinacho haribika. Msosi, vipengele vidogovidogo namaliza.
5- JULIUS AGAOA.
Nikiwa uwanyani nikifunga gori nilikua naruka sarakasi (kuruka beki). Watoto wa kiswahili wanaelewa maana ya beki. Haswa katika timu ZETU za mtaani mipira ya maratasi maalufu SODO. Nimepiga sana maeneo ya MZIMUNI, GINE, KWA BUBU MBURAHATI, UFI, NK.
6- DUDU LA AKILI.
Sura mbaya kauzu kinoma shule mzima wananijua sicheki na mtu, pen madaftari yakiibiwa Madafuli ya madarasa ya mbelelmbele yanaletwa KWANGU. Natuza Kisha nagawana na wahuni wenza RAKINI ukija katika masomo nilikua smart sana KICHWANI nikiwa shule nilikua namudu vizuri masomo. Na ifikapo rikizo nachukua sana zawadi. Nimebebwa sana na wanangu. Rakini wao asaiv ni maboss katika maofisi mbalimbali UMA, MTU mzima NABANGAIZAMTAANI kweli kua MKALI shule SIO kua mcharo mtaani. Maisha bana. Haya fomula.
7- MSAFIRI.
Sijawai kua mtaani kuanzi jtatu adi jpili PASIPO kuondika. Kitendo Cha Mimi kuto kuwepo katika maende yangu washikaji wakiniona wananiuliza ulikua wapi nawajibu nilisafiri. Wakageuza huyu bhana Msafirii mana KILA SIKU YEYE ana safirili TU.
8- MSELA.
Hili jina nilipewa na watu WA makamo KWA SABABU nilikua nafuga sana nywele KICHWANI, afu timtim sijali sijali usafi wa nywele si chani, sinyoi wala nini. Ivoivo TU irimradi naishi na maisha yangu mi poa.
9- MWAMBA.
Nilikua sipendi kushindwa katika HALI yoyote inayo husu KUTUMIA NGUVU. Iwe kubeba kufanya KAZI au KUJITOA KWA lolote. Wanangu wakanipa jina we ni MWAMBA sana. Uchoki na ukati tamaa.
10- TAJILI.
Nikiwa nacho ni chetu iko. Siwezi kukuona MTU anakwama KWA kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wangu. Iwe fedha, msaada wa Haina yoyote unao husu kutao nilikua najitole sana, nimetoa damu sana kuwasaidi watu namjua simjua, chakula, fedha, muda KWA ajili kusovu mambo ya watu ndo MENGI sana. Nikujue nisikujue na pushi.
TABIA AMBAZO SIKUA NAZO ADI LEO.
SIO MLEVI, SIVUTI SIGARA BANGI, SIO MCHOYO. ILA MBABE ADI LEO.
TUAMBIE ULIPEWA JINA GANI LA UTANI NANI KWA NINI ULIITWA HIVYO.