Tuambie sababu iliyokupelekea ukawa unatumia hiyo ID yako hapa JF

Na hivi kwa nini huyo mtu amekuwa akiulizwa sana juu ya jinsia yake ?
 
Siubadiri jina limekaa kifamba sana mpaka Avatar ya kikolo
Kijana mimi humu nachota ma info nakusepa zangu....
Sidhani kama kuna umuhimu wa kuchange id wala avatar
Mtandao wenyewe kuna watu wanaitwa viatu vya samaki,kwanini nihangaikie majina na avatar nzuri.....chill boss
😂😂😂😂😂

If you're new here hamna tuzo za jina zuri wala id inayovutia huku si insta

This is way over that...
Huku wanakaa magreat thinker...

Na wa kula tunda kimasihara😂😂😂
 
Siri ya sifuri ni sifuri yenyewe, great thinkers hawahitaji maelezo zaidi wameshatambua maana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pacha sio kwa hii comment, wallah nimecheka mbavu sina lol.
 
Kwahyo wew ni mtu wa kaskizinii au sio
 
Siri ya sifuri ni sifuri yenyewe, great thinkers hawahitaji maelezo zaidi wameshatambua maana.
Hebu tupe maana hata kidogo sisi tusio great thinkers.
 

Siri ya jina langu imetoka hapo
Rumpelstiltskin is a fairy tale that illustrates how confused values can lead to problems. One of the themes is about staying quiet when you have nothing meaningful to contribute. The miller could have avoided a lot of trouble for his daughter by keeping his mouth closed instead of trying to impress the King.
 
nimeielewa sana hiii...big up mkuu
 
Niliamua kuachana na id yangu ya zamani na kutumia jina langu halisi.

Japo changamoto za kuwa vefifwaidi memba ni nyingi ila tunasonga na tutafika tu.

Au nasema uongo ndungu zangu...!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…