Tuambieni DSTV, chaneli za ndani ni bure?

Suip

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,353
Reaction score
815
Baada kutangazwa na waziri Nape kuwa chanel za ndani zinarudishwa DSTV . Je, kifurushi kikiisha zinabaki au zinafuta mpaka uweke kifurushi tena? Kwa walio na DSTV tujuzeni.
 
Bado hatujamaliza vifurushi ila tbc unabakiziwa
 
Hivi hizo local channel ni clouds peke yake? ITV/channel10/star tv haziko ehh?
 
Baada kutangazwa na waziri Nape kuwa chanel za ndani zinarudishwa DSTV . Je, kifurushi kikiisha zinabaki au zinafuta mpaka uweke kifurushi tena? Kwa walio na DSTV tujuzeni.
yaani mtu anafanya biashara na uwekezaji wote atoe huduma bure. sijui lakini
labda kama ingekuwa ni taasisi ya serikali ,hapo sawa sababu tunachangia kodi
 
Hawa jamaa mbona wamekaa kimya sana
Channel km
ITV
EATV
CAPITAL TV
CHANNEL 10+
STAR TV

Mpaka leo hawatoi mrejesho wowote
 
Hizo local channels sio za bure bahati nzuri mie kifurushi kiliisha jana so nika observe hiko kitu.
 
Baada kutangazwa na waziri Nape kuwa chanel za ndani zinarudishwa DSTV . Je, kifurushi kikiisha zinabaki au zinafuta mpaka uweke kifurushi tena? Kwa walio na DSTV tujuzeni.
Hakuna cha bure kifurushi kikikata na wao wanazikata hata TBC ni hivyo hivyo wanaweza kuiacha kwa wiki moja wanaitoa unabaki na dish tu.
 
Baada kutangazwa na waziri Nape kuwa chanel za ndani zinarudishwa DSTV . Je, kifurushi kikiisha zinabaki au zinafuta mpaka uweke kifurushi tena? Kwa walio na DSTV tujuzeni.
wapigie wakuelekeze kunajinsi wamebadili settings zao ila free to air channel zote zinaonesha mm nina mwezi wa pili sijalipia ila naona itv, TBC, clouds, Eatv, channel ten, star tv, upendo tv, safari channel na islamic tv
 
Back
Top Bottom