Tuambieni DSTV, chaneli za ndani ni bure?

Tuambieni DSTV, chaneli za ndani ni bure?

Acha kudanganya watu wewe, DSTV hakuna chaneli za bure. Ni TBC tu ndio unaachiwa
hapana Free to air channel zote zenye local content ni bure Itv, clouds,Eatv, channel ten, star tv, safari channel, TBC, upendo tv na Islamic tv no buree.

mimi nina kama miezi miwili sijalipia na hizi channel zinaonesha buree
 
Acha kudanganya watu wewe, DSTV hakuna chaneli za bure. Ni TBC tu ndio unaachiwa

Zipo mkuu na mimi nna mwezi wa 3 sasa sijalipia ila napata FTA kama tbc, safari chanel, zbc, clouds, itv, eatv, upendo, iman, star tv, channel 10
 
Back
Top Bottom