Yap Mwanaume hachezei matako #pembe ya ukuta (kusosa)Kuchamba,..
Unakuta kabisa mwanaume kakomaa uso na ndevu zake ana kaza sauti anaimba eti "upo nyonyo , upo titi" au sijui "akitaka na mpatia" huku ana kenua meno yaliyopekechwa na wadudu.Naanza mimi 👇
Kuoga mara 3 kwa siku 😥
Funguka,
😅😅 dah bro unazinguaaNimekutana na kaka anaimba "who is Amandaaaaa" nikasema basi huyu ni mwenzangu in disguise