Tuambizane ukweli, hawa Mamelodi Sundowns sio watu wazuri

Tuambizane ukweli, hawa Mamelodi Sundowns sio watu wazuri

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Sasa naanza kuona ule ufalme wa timu za kiarabu taratibu unaanza kupotezwa, hawa wa sauzi wanaupiga mwingi na hawakutazami usoni, kiufupi wanajiamini haswa, wameshinda game zote tatu za round ya kwanza wako juu hawana habari.

FB_IMG_16150506828749550.jpg

 
Bajeti ya mamelodi haina tofauti na bajeti ya waarabu..

Hao wanaitwa masandawana huwa hawabahatishi.. na mzee motsepe bosi wao hanaga ubahili
Nasikia huyo Motsepe ndio anaenda kuchukua nafasi ya Ahmad pale CAF tena akipigiwa chapuo na bosi wa FIFA Infantino.

Kweli mpira ni uwekezaji sio makelele na kubeba watu migongoni.
 
Jamaa wanasajili mmoja mchezaji Bilioni 1. Hatari sana. Mo apewe nafasi atafute mdhamini wa nguvu baada ya contract magumashi na Sportpesa
Hii pointi muhimu, Simba tusiridhike kwa kumuweka mfukoni utopolo au ku draw na Mazembe kwenye friend match, kuna vigingi huko mbele sio mchezo, kuchukua kombe Klabu Bingwa Afrika inatakiwa kufunga mkanda haswa.

Niliona walimgomea Al Ahly kumuuzia mchezaji wao toka Paraguay, jamaa wana viburi haswa na wanaupiga wa kutosha.
 
Msaada.
Hapo kwenye nafasi ya pili na ya tatu, mbona GD inampa nafasi Mazembe kuwa namba 2 alafu cha ajabu kawekwa namba 3!!
Nini shida hapo?
 
Msaada.
Hapo kwenye nafasi ya pili na ya tatu, mbona GD inampa nafasi mazembe kuwa namba 2 alafu cha ajabu kawekwa namba 3!!
Nini shida hapo?
Wamekosea hao jamaa.
 
Bajeti ya mamelodi haina tofauti na bajeti ya waarabu..

Hao wanaitwa masandawana huwa hawabahatishi.. na mzee motsepe bosi wao hanaga ubahili
Hana ubali kweli maana makocha wazawa anawalipa vizuri...and the gud thing ana promote makocha wazawa. Huyo kweli ndio leader sio sie ata CHAN tunashindwa wapa wazawa chance.
 
Back
Top Bottom