Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia huyo Motsepe ndio anaenda kuchukua nafasi ya Ahmad pale CAF tena akipigiwa chapuo na bosi wa FIFA Infantino.Bajeti ya mamelodi haina tofauti na bajeti ya waarabu..
Hao wanaitwa masandawana huwa hawabahatishi.. na mzee motsepe bosi wao hanaga ubahili
Hii pointi muhimu, Simba tusiridhike kwa kumuweka mfukoni utopolo au ku draw na Mazembe kwenye friend match, kuna vigingi huko mbele sio mchezo, kuchukua kombe Klabu Bingwa Afrika inatakiwa kufunga mkanda haswa.Jamaa wanasajili mmoja mchezaji Bilioni 1. Hatari sana. Mo apewe nafasi atafute mdhamini wa nguvu baada ya contract magumashi na Sportpesa
H2hMsaada.
Hapo kwenye nafasi ya pili na ya tatu, mbona GD inampa nafasi mazembe kuwa namba 2 alafu cha ajabu kawekwa namba 3!!
Nini shida hapo?
Msaada.
Hapo kwenye nafasi ya pili na ya tatu, mbona GD inampa nafasi mazembe kuwa namba 2 alafu cha ajabu kawekwa namba 3!!
Nini shida hapo?
Aaaaa sawaWamekosea hao jamaa.
Bosi wa Simba, duh bahili kichiziBajeti ya mamelodi haina tofauti na bajeti ya waarabu..
Hao wanaitwa masandawana huwa hawabahatishi.. na mzee motsepe bosi wao hanaga ubahili
Kwisha kazi 🙏mkuuView attachment 1718763
Hiyo magumashi,chukua hii
Hana ubali kweli maana makocha wazawa anawalipa vizuri...and the gud thing ana promote makocha wazawa. Huyo kweli ndio leader sio sie ata CHAN tunashindwa wapa wazawa chance.Bajeti ya mamelodi haina tofauti na bajeti ya waarabu..
Hao wanaitwa masandawana huwa hawabahatishi.. na mzee motsepe bosi wao hanaga ubahili
Mchakato wa mabadiliko ndiyo hauko vizuri nadhani anaogopa risk hapo baadaeBosi wa Simba, duh bahili kichizi
Iongeze simba hapaEsperance nao wabaya sana,wameshampiga Zamalek 3 mpaka muda huu.
Watu wabaya ni Mamelod, Esperance na Al Ahl
Usijidanganye mkuu, Al Ahl haitishi kivipi, ni hiyo game ya Simba Sc tu. Tazama mziki saa 4Hao Ahly sasa hivi hawanitishi kivile, sasa natamani Simba ije kucheza na hao waarabu wengine.
Haa haa mkuu Simba Sc inatisha ila sio level za Mamelodiongeze simba hapa
Tutakupeleka polisi wewe usituchezeeEsperance nao wabaya sana,wameshampiga Zamalek 3 mpaka muda huu.
Watu wabaya ni Mamelod, Esperance na Al Ahl