Tuambizane ukweli, hawa Mamelodi Sundowns sio watu wazuri

Alafu Simba mna kelele na viburi mechi ya leo mmecheza hovyo mmeshindwa kumfunga kibonde msomali hampo consistency nyinyi na msipo angalia vita wanawapiga hapa hme....
Kuna timu zaidi ya milioni 1 Afrika na sasa imebaki miamba 16 bora katika timu zaidi ya milioni 1 Afrika nzima katika hatua hii ya makundi. Hakuna timu mbovu katika group stage. Ndio maana leo tunapoizungumzia Simba au Merreik wakati huo huo tunaizungumzia Mamelod, Ahly, Esperance, Mazembe, Zamalek, Casablanca
 
View attachment 1718775

Hovyo ndio inakuwaga hivi we Utopolo?
Mkuu yani hata mimi unaniita utopolo dah!!! Sikubahatika kucheki gemu ila kwa takwimu hizi nimeelewa kumbe tuliutawala mchezo, yaani kama tulipiga pasi zote hizo nyuma ya goli lao. kweli tulienda kujilinda na kushambulia kwa kushtukiza pamoja na kukaba kwa nguvu.

Kudos kwa kocha wetu ana mbinu nzuri akicheza ugenini anasubiri timu pinzani ifanye makosa ndipo na yeye atumie nafasi.
Ila ajitahidi kuongeza mbinu eneo la ushambuliaji, yaani on target 3 bila goli!! Hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali kwa soka hili la kisasa ambapo mpira umehamia laboratory.
 
Mkuu nilim quote ras jeff kapita
 
Uto ukiwa na pesa tu unaweza waambia wafanye chochote nao watafanya tu, hata ukitaka wakubebe mgongoni watakubeba..
Hahahah dah hatari sana
Na ile kamati yao vp? mwenye taarifa atupatie basi nn shida mbona piston alitua bila mapokezi!! Kamati inakwama wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…