Pongo Pongo
JF-Expert Member
- Jan 15, 2021
- 473
- 586
Tutaanza kuona viongozi wakinyosheana vidoleHapa ndipo wataanza kufukuzana jangwani, ngoja utaona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutaanza kuona viongozi wakinyosheana vidoleHapa ndipo wataanza kufukuzana jangwani, ngoja utaona.
Tulia wewe, ngoma ya watoto haikeshi....Tulieni mmeshapona bikira aliyowatoa coastal
Na simbaEsperance nao wabaya sana,wameshampiga Zamalek 3 mpaka muda huu.
Watu wabaya ni Mamelod, Esperance na Al Ahl
Labda kama atacheza Tuisila Kisinda na SaporngTulia ww ngoma ya watoto haikeshi....
Vita na Ahly wanavuka hili kundi mtabaki na pointi zenu 7 au 8
Kuna timu zaidi ya milioni 1 Afrika na sasa imebaki miamba 16 bora katika timu zaidi ya milioni 1 Afrika nzima katika hatua hii ya makundi. Hakuna timu mbovu katika group stage. Ndio maana leo tunapoizungumzia Simba au Merreik wakati huo huo tunaizungumzia Mamelod, Ahly, Esperance, Mazembe, Zamalek, CasablancaAlafu Simba mna kelele na viburi mechi ya leo mmecheza hovyo mmeshindwa kumfunga kibonde msomali hampo consistency nyinyi na msipo angalia vita wanawapiga hapa hme....
Mkuu yani hata mimi unaniita utopolo dah!!! Sikubahatika kucheki gemu ila kwa takwimu hizi nimeelewa kumbe tuliutawala mchezo, yaani kama tulipiga pasi zote hizo nyuma ya goli lao. kweli tulienda kujilinda na kushambulia kwa kushtukiza pamoja na kukaba kwa nguvu.
Acha basiWakutolewa sadaka majina yao yameshaandikwa tayari.
Mtani wewe una cheo gani pale jangwani, maana juzi tu hapa kuna mtu alisema hajui kama simba alikua anacheza na al ahl kwa mkapa. Tuambie basi mtaniiiTulia ww ngoma ya watoto haikeshi....
Vita na Ahly wanavuka hili kundi mtabaki na pointi zenu 7 au 8
Mkuu nilim quote ras jeff kapitaMkuu yani hata mm unaniita utopolo dah!!!
Sikubahatika kucheki gemu ila kwa takwimu hizi nimeelewa kumbe tuli utawala mchezo, yani kama tulipiga pasi zote hizo nyuma ya goli lao. kweli tulienda kujilinda na kushambulia kwa kushitukiza pamoja na kukaba kwa nguvu.
Kudos kwa kocha wetu ana mbinu nzuri akicheza ugenini anasubiri timu pinzani ifanye makosa ndipo na yeye atumie nafasi.
Ila ajitahidi kuongeza mbinu eneo la ushambuliaji, yaani ontarget 3 bila goli!! hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali kwa soka hili la kisasa ambapo mpira umehamia laboratory.
Mtani sisi sio kama ww unaongoza ligi kwa bahati mbaya.tunapambana kila kona kuhakikisha tunavuka hii hatua.Mmeshindwa kumfunga huyo kibonde mechi laini vile,!!? mechi inayokuja mnarudiana nae hapa bongo mkilazimishwa droo tu mmebaki nawaambia
Mmeshaachana na Slogan ya Hamsa?Tulia ww ngoma ya watoto haikeshi....
Vita na Ahly wanavuka hili kundi mtabaki na pointi zenu 7 au 8
Mna kiburi kelele nyingi mpira mdogoMtani sisi sio kama ww unaongoza ligi kwa bahati mbaya.tunapambana kila kona kuhakikisha tunavuka hii hatua.
Mkuu hapo kuna watu watateseka kwa hayo maneno yako, hasa vyura wa kidimbwiKweli mpira ni uwekezaji sio makelele na kubeba watu migongoni.
Hahahah dah hatari sanaUto ukiwa na pesa tu unaweza waambia wafanye chochote nao watafanya tu, hata ukitaka wakubebe mgongoni watakubeba..
Hahaaha mpira kidogo kama shuti la sarpong. Mtani unafurahisha aiseeMna kiburi kelele nyingi mpira mdogo
Wanahitaji maombi, wanabeba watu migongoni hata wasiowajua, huyo Piston tuliambiwa amecheza Ulaya ajabu leo anashindwa hata kucheza Mkwakwani..Hahahah dah hatari sana
Na ile kamati yao vp? mwenye taarifa atupatie basi nn shida mbona piston alitua bila mapokezi!! Kamati inakwama wapi?
Yeye hajamaanisha watu ila wewe ndiyo unataka kuwatesa tuMkuu hapo kuna watu watateseka kwa hayo maneno yako, hasa vyura wa kidimbwi